music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Habari wazee,
Mwenye kujua wapi nitapata radio nzuri ya gari anisaidie. Sijui sana kuhusu miziki ya kwenye gari lakini nahitaji muziki mzuri unaochuja vizuri.
Nilijaribu kuuliza kwa Dick sound lakini alinitajia bei kubwa sana ni kama millioni moja ili anifungie muziki mzuri.
Mimi bajeti yangu ni ndogo najua kuna wazoefu wanaoweza nisaidia kupata muziki mzuri lakini kwa bei nafuu isiyoumiza.
Ebu fanya kucomment chochote mwenye uzoefu najua nitapata kitu.
*Muziki mzuri namaanisha unaochuja vizuri sio kelele nyingi.