Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mpo wengi mnaofanya hiyo biashara, ili Mteja aweze kukumbuka na kukutofautisha na wengine lazima uwe na logo(Nembo) inayotambulisha biashara yako. Karibu Ujipatie Usanifu(Designing) bora kwa bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asalaam alaykum, habari zenu ndugu zangu. Mimi ni msichana niliyejikita katika ujasiriamali. Napenda kuwatangazia ndugu zangu kwa waliokuwepo Zanzibar- Unguja nafanya biashara ya nyama kwa oda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu wana JF! Ninahitaji mashine ya Juice ya miwa (specially) au {multipurpose} ambayo ni portable na inawezatumia umeme (wa tanesco au generator). Kwa wajuzi au wazoefu mnaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu salaam kwenu! Nahitaji nyumba ya kupanga kwa kipindi cha mwaka mmoja jijini Dar iwe maeneo ya Sinza, Savei, Mwenge na au Ubungo! Iwe na vyumba vitatu au viwili. Ikiwa inajitegemea ni...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Naulizia wapi naweza kupata mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha. Taarifa nilizo nazo ni kwamba siyo wa kienyeji ila ni wa kisasa au chotara, mimi napendelea sana chotara kama wanapatikana.
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Nauza laptop aina ya 250 g4 kama kama spare parts haiwaki, ikiwa na vitu vifuatavyo vizima display, keyboard, ram 2gb, malango dvd rw, na body yake ikiwa katika hali nzuri bei kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Habari za muda huu wapendwa, Naomba niwakaribishe katika website yetu ya kipekee ya makazistate, MAKAZISTATE NI NINI, Ni website iliyoanzishwa kwa madhumuni ya kusaidia kuleta urahisi katika...
1 Reactions
3 Replies
861 Views
Habari zenu wakuu, Kama unashughuli yako iwe Harusi, Send off, Msiba au Sherehe ya aina yoyote na unatafuta wapishi wa chakula kitamu na kuvutia, basi jibu lako ni MAMA JAMILA. Wasiliana nasi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, kama unashughuli yako iwe Harusi, Send off, Msiba au Sherehe ya aina yoyote na unatafuta wapishi wa chakula kitamu na kuvutia, basi jibu lako ni MAMA JAMILA. Wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Dragon inakuletea bati imara na bora kabisa zenye warrantie ya miaka 10 ya maandish na si maneno kama viwanda vyengine kwa bei rafiki kwa mteja. Na ili kupata bidhaa zetu adimu wasiliana nami...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau.mimi ni dereva nahitaji gari yakufanyia kazi ya uber kwa maelewano.
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Habari zenu watanzania wenzangu, Naombakujua wapi naweza pata mbegu ya mnanaa / majani ya mnanaa au mint #nipo mbeya
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BIASHARA YA FASTA LINE YA TIGOPESA WAKALA Line ipo active tayari kwa matumizi na haidaiwi , imeshasajiliwA ina jina tayari ila ukiwa na document za biashara unafanyiwa process za kubadilishiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na uhitaji mkubwa wa viwanja Jijini hapa kampuni ya Goodneighbour real Estate inakuletea viwanja katika sehemu mbalimbali jijini hapa Bei ni cheap kutokana na uwezo wa mfuko wako Unaweza...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Laptop Intel Quadra core-2.5GHz/3.1GHz Turbo Processor, 4GB RAM, 500GB HDD, ... Mpya kabisa haijawahi tumika popote Naomba mteja ambaye yupo serious Ninayo hapa gereza la misungwi mwanza, Nina...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu. Kwa jina naitwa mr aziz . Mimi ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya NZALLACADO OIL COMPANY LIMITED. Kampuni yetu inajihusisha na uzalishaji wa mafuta asilia ya parachichi...
1 Reactions
2 Replies
14K Views
Samahan kaka na dada zangu natafta laptop ya kununua Kwa laki 300000 iwe na RAM 2GB CPU nA icore ya i3 sio mbaya na kuendelea mimi nipo buhongwa pia iwe kama ina wezeiana sana iwe HP,LENOVO...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Mada kama inavyojieleza hapo ndugu zangu, naomba mtu mwenye ufahamu wa hili anisaidie
1 Reactions
6 Replies
12K Views
Nissan Xtrail Year--2008 Grade--20x Drive--4wd Engine--cc1990 Other option--AW FOG NV B-MONITOR ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI--17mil #acjsamora [emoji338][emoji336]0715558258
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Wakuu Habari za mishale hii, Kuna jamaa yangu ameniomba nimuulizie sehemu wanakotoa huduma ya massage au barber shop zenye huduma Hizo hasa maneno ya Temeke au tandika. Yeye anatoke Mtwara, ni...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…