Jikwamue kiuchumi na makazistate

Jikwamue kiuchumi na makazistate

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,877
Reaction score
10,214
Habari za muda huu wapendwa,
Naomba niwakaribishe katika website yetu ya kipekee ya makazistate,

MAKAZISTATE NI NINI,

Ni website iliyoanzishwa kwa madhumuni ya kusaidia kuleta urahisi katika upatikanaji wa kuuza,kununua na hata kukodi,mashamba,fremu,nyumba,appartments,hostels,na hata kumbi za sherehe,Hivyo kupitia site yetu utaweza kuuza na hata kununua vitu tajwa hapo juu na hata kupangisha pia kwa kuingia kwenye site yetu.

NTAFAIFIKA VIPI KAMA MMILIKI,

Kupitia website yetu ambayo ni userfriendly,kama mmiliki wa nyumba,chumba,appartments,hostel na hata kiwanja utanufaika kwa kupata mteja wa haraka endapo kama utakodisha au utakuwa unauza.Pia utapata wateja wa haraka kwa mali yako itakuwa inaonekana na wengi.

NITAFAIDIKA VIPI WAKATI MIMI SIYO MMILIKI?
Hapa ndipo tumetoa fursa kwa watanzania wengi wakiwemo madalali na hata wasio madalali.kwani kupitia website yetu unaweza kuwasiliana nami au uongozi,kwa kutuma maelezo kamili ya mali husika ikiambatana na picha,then sisi tutaiweka kwenye site yetu mwisho wa siku akipatikana mteja sisi tunachukua asilimia 10% azilimia 90% ni yako wewe mleta mali(middleman)

GHARAMA TUNAZOTOZA

Makazi estate tumefanya mageuzi makubwa kwenye upatikanaji na hata gharama katika upatikanaji wa real estate kwa kukata asilimia ndogo sana kama gharama ya huduma kwani endapo mali yako tutaiuza au kuipangisha sisi tutachukua asilimia 10% ya mauzo asilimia 90% itabakia kwako kama mwenye mali

NAWEZAJE KUWASILISHA MALI YANGU MAKAZI STATE AU KUWASILIANA NAO,
Makazi estate tumapatikana muda wote masaa 24 kupitia namba 0659756647/0623953036,
KUMBUKA:Kupitia kwetu utaweza kuuza,kiwanja,nyumba appartment,hostel,shamba,kumbi za sherehe,fremu na hata kupangisha kwa wewe mmiliki,na kwa wewe ambae siyo mmiliki unaweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp au hata kwa njia ya kawaida kupitia namba hizo,kwa kuwa na maelezo rasmi ya bidhaa husika nasi akipatikana mteja tutakutafuta ili mauziano yawezekufanyika ili mwisho wa siku nawe upate fedha yako kama dalali.
Karibuni sana@www.makazistate.com
 
10% yako utaipataje ikiwa mimi muuzaji naweka namba yangu na mteja atanitafuta mwenyewe?
 
10% yako utaipataje ikiwa mimi muuzaji naweka namba yangu na mteja atanitafuta mwenyewe?
Swali zuri ni kwamba sisi kama wahusika ndio wenye controll access ya kuposti mali yako hivyo wewe utatutafuta baada ya maelewano na mteja atatupigia sisi maana namba yako haitakuwepo then sisi tutakutafuta wewe kisha biashara inaganyika baada ya kufanyika ndo tunakata 10%yetu
 
Kuna sites zingine muuzaji huweka namba zake na anatafutwa yeye moja kwa moja kwa mfano Kupatana, hata FB na JF. Ninahisi wauzaji wengi hua wanapenda kuikwepa hii 10%, hiyo naiona kama ni changamoto kwa site yenu.

Kama mmejipanga kuishughulikia mtakua washindi in no time. Kila la kheri chief.
Swali zuri ni kwamba sisi kama wahusika ndio wenye controll access ya kuposti mali yako hivyo wewe utatutafuta baada ya maelewano na mteja atatupigia sisi maana namba yako haitakuwepo then sisi tutakutafuta wewe kisha biashara inaganyika baada ya kufanyika ndo tunakata 10%yetu
 
Back
Top Bottom