MASHINE YA JUICE YA MIWA+

MASHINE YA JUICE YA MIWA+

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
560
Habari ya wakati huu wana JF!

Ninahitaji mashine ya Juice ya miwa (specially) au {multipurpose} ambayo ni portable na inawezatumia umeme (wa tanesco au generator).

Kwa wajuzi au wazoefu mnaweza suggest pia kwnye maelezo hapo juu.



Asanteni
 
Habar ya wakati huu wana JF!?.....

Ninahitaji mashine ya Juice ya miwa (specially) au {multipurpose} ambayo ni portable na inawezatumia umeme (wa tanesco au generator)........

Kwa wajuz au wazoefu mnaweza suggest pia kwny maelezo hapo juu.....



Asanteni
Kwa nini usitembelee maeneo ya viwanda vidogo, maana wao pia wanaonekana kutotangaza biashara yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom