Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta flat screen kuanzia inch 22 used yakununua alonayo anicheki
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Wakuu kama heading inavyojieleza ninakuku wa asili wa kienyeji wanafaa kwa biashara na kula ni wawastani hadi wakubwa kabisa.Wazuri na wenye afya kabisa bei ya jumla ni maelewano Rejareja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza sure apps za kubet zinatoa odds za uhakika.. Play store zinauzwa bei mbaya lakini Mimi nitakuuzia mbili kwa efu tano tu.. Nimefanya hivi kwa kuwa kuna ndugu zangu wanataka hizi apps na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau husika na kichwa tajwa..... Naomba kusaidiwa ili niweze kupata wepesi wa safari hiyo! Natanguliza shikrani!
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Hi all, Bidhaa hizi hapa chini original, zinauzwa kwa bei poa kabisa, Jipatia sasa kwa kutunizia vitu vyako:- Flashdisk (SANDISK)--16GB = 20,000/= MicroSD (Memory card) ----16GB = 23,000/=...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, nahitaji kufanya booking ya fastjet au kampuni yoyote nafuu kwa safari ya April mwakani Mungu akipenda from dar to Mbeya. Nataka ni book mapema nilisikia ukibook mapema zaidi garama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema hapo juu, 1. Awe anatoka Mwanza kwenda Arusha. 2. Awe anatoka Mwanza kwenda Dodoma, Morogoro. Kwa maelezo zaidi, njoo PM.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari ndugu msanii, manager, au mzalishaji wa mziki au hata mwenye tangazo la biashara hapa Tanzania. Nnayo furaha kubwa kukukaribisha kutangaza mziki wako na sisi. Kutumia blog pedwa ya muziki...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Habari wadau Uzi maalumu kwaajili ya kuniungisha Nauza kuku wa kienyeji wakubwa ambao wanataga Bei ya Kuku1 ni 16000/= Napatikana msasani dar es salaam Na pia ofisin kwangu Kimara Temboni Hapa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba inapatikana Tabata Segerea (karibu na stand) Umbali kutoka lami ni meter 150 na dakika 3-5 mpaka stand ya Segerea. Nyumba ni mpya kabisa. Nyumba ni ghorofa moja 1. UPANDE WA CHINI kuna...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k. Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nahitaji kupata vifaa vya kutoa picha kwenye simu nione kwenye TV aina ya TV ni zenye HDMI STAR X
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepita house of wisdom na elitebook shop, hawana.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
King'amuz kinauzwa 50000/= fixes cmplete location victoria karibu na makumbusho
0 Reactions
5 Replies
952 Views
Wadau husika na kichwa tajwa..... Naomba kusaidiwa ili niweze kupata wepesi wa safari hiyo! Natanguliza shikrani!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibu nikuhudumie kiroho safi. Dondokea chaguo Lako then Weka order sasa, hasa katika msimu huu wa skukuu. Bei ni laki 1 na themanini kwa laki 1 na hamsini Ninadeliver popote ulipo kwa...
5 Reactions
199 Replies
30K Views
Offer offer offer!!!!! Ni offer ya msimu wa sikukuu.... Pata Dagaa from Zanzibar ni wazuri wanajitosheleza kwa famili maana wanavimba...... Wanapatikana kwa jumla na rejareja..... Bei ya awali...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mambo niaje? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza inahitajika subwoofer used iwe na Bluetooth,SD card na FM. mwenye nalo tukutane PM au comment kwenye uzi nione Napatikana Dar offer yangu 70K.
1 Reactions
4 Replies
735 Views
Nauza simu yangu iphone 5 original ns charger og anaetaka aje pm rangi niblack
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Smart Watch For IOS an Android users Keep active, Stay motivated! By FHS technologies * Auto sleep tracking * Heart rate fitness tracker * Call and SMS alert * Phone notification * Phone GPS...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…