Habarini za mda huu wakuu kama unahitaji gari mpya hapa ndio mahala pake. ofisi zetu zipo quality center kwa maswali na maulizo tafadhali wasiliana nami kwa 0715841834 mohammed karibuni sana...
Upo ununio na umefec lami, size plot 3018 sqm
Hati ipo
Bei 270m
Panafaa Sheli, Apartment, hotel, supermarket,nyumba za Ibada, ukumbi, na makazi pia..nk
Maongezi zaidi 0756060183
ASUS Laptop used inauzwa bei sawa na bure kutokana na shida binafsi za mmiliki
Specification
Ram 4gb
Hard disk 320gb
Inakaaa na chaji masaa 3,
Serious buyer karibu dm tumalize biashara
Karibuni sana kwa wale wote wanaohitaji used computers(ikiwa set nzima au monitor peke yake na cpu peke yake), HDD, Ram,Display,Batteries etc.
Tunapatikana karume machinga complex, Dar es salaam...
Habari Wanajamvi.Naomba kujuzwa Mshahara wa wafanyakazi wa Bandarini katika kada za Bandari yaani TPA na Makontena yaani TICST kwa 'Professional&Non-Professional' natanguliza shukrani wakuu...
Habari, nahitaji battery ya laptop aina ya HP Folio 9470M iliyo pichani. Nimejaribu kuulizia katika baadhi ya maduka kariakoo nimekosa, anayefahamu wapi naweza kuipata; au aliyenayo anaiuza apost...
habari wakuu!
husika na kichwa cha habari hapo juu,tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka,wamiliki wengi wa shule wanaumiza vichwa ni namna gani wanaweza kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi...
Kabla hujaamua kuingia katika kilimo ni vizuri ukajifunza au kupata ushauri ili kulima kifaida
watu wengi wanakosea kulima bila taarifa sahihi kwa kukosea msimu wa ulimaji na uwekaji wa mbolea...