Ana maana kuwa ni Nokia6 dual SIM card. By the way nzuri sana hii kama ipo safi na bei yake reasonable maana mpya ni 650,000Duh 6 dual..
Inakaa mda gani na charge?
Hapo nimekuelewa,nilijua ni 6 dual..Ana maana kuwa ni Nokia6 dual SIM card. By the way nzuri sana hii kama ipo safi na bei yake reasonable maana mpya ni 650,000
Kwani ingekua ni 6 dual ingemaanisha nini Mkuu?Hapo nimekuelewa,nilijua ni 6 dual..
Hapo sawa