Asus laptop inauzwa (used) laki 250000

Asus laptop inauzwa (used) laki 250000

makinika18

Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
77
Reaction score
108
ASUS Laptop used inauzwa bei sawa na bure kutokana na shida binafsi za mmiliki

Specification

Ram 4gb
Hard disk 320gb
Inakaaa na chaji masaa 3,
Serious buyer karibu dm tumalize biashara
20181113_195839.jpeg
20181113_200136.jpeg
20181113_200113.jpeg
 
ikifika 200000 nicheki mkuu pesa mkononi 0657867283
 
Rekebisha kichwa cha habari. Andika LAKI MBILI NA NUSU au 250,000/- Badala ya LAKI 250000. (Hela nyingi hiyo kwa laptop hiyo, laki 250000 = 25,000,000,000/-)
 
Bosi hiyo ni toleo gani? Naomba unijibu kabla hujafanya biashara.
 
ishauzwa?kama bado nitumie namba yako pm ntakuchek
 
Asante wote kwa kushiriki LAPTOP yetu imepata mteja kwa bei nzur kabisa exactly 250, na ishauzwa
 
haya haya mzigo mwengine huo sasa hii ni HP lqptop

RAM 4GB
HARD DISK 500GB
PROCESSOR NI 2.5GHZ
CPU NI CORE i5

kwa laki 350000 wahi fasta kabla haijachukuliwa,
20181205_165436.jpeg
20181205_165428.jpeg
 
kuna Ps3 pia ambayo ipo chiped na ina game zaid ya 6, ikiwemo

FIFA 18

MAFIA

GTA
na nyingine nyingi,
ikiwa na padi zake 4,

inauzwa laki 4 kamili, karibun sana kwa biashara
 
Sorry mkuu,
Una elimu gani?
Manake Uandishi wa Laki 250,000 au Laki 350,000 ni uandishi wa Darasa la 3 D
Darasa la 3 D sio dhambi, mrekebishe tu kisha ujikite kwenye mada.... sio wote "wasomi" kama wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom