Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
B
Hamna laptop ya hivyo itakusumbua tuIwe mikoa ya Mwanza, Shinyanga, au Simiyu ah hata kama unaweza kuagiza mza, shy na simuyu kwa haraka sawa pesa ipo cash.
Iwe na specification za kawaida tu.
Budget 150k. Ipo cash.
Pm me or use 0688 154 404
ongeza ifike sh 200000 nikuuzie laptop kwa matumizi yako.
dell inakuwa na 160 gb hard disk na ram 2 gb.kama hiyo namba ipo whatsapp nikutumie picha yake.kumbuka nipo dar kama utaipenda tutafanya biashara.Laptop gani ielezee vizuri tafadhali