Nauza mradi wangu wa M-PESA na AIRTEL money till zote kwa pamoja nauza 230,000 Tsh. Nauza sababu nina shida ya Pesa. Kwa wale wa Arusha na Kilimanjaro ntakuletea hadi ulipo: Nipigie au text 0764586354
Salaam!!!
Kampuni yetu inaendelea kuuza viwanja vilivyoko puna kigamboni,viwanja vimepimwa na viko mita 400 tu kutoka kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi.
Vina ukubwa tofauti kuanzia sqm.400 mpka...
Nina shida ya haraka nauza Till yangu yya AIRTEL MONEY , inafanya kazi zote vizur ikiwa imeunganishwa na program ya kusajili Wateja.
Bei: 75,000 maongezi yapo.
Nipigie au Ni text: 0764586354...
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
Kabila ni samsung. For 900000.. tutaelewana karibuni.
Ni kubwa la milango miwili.
Halina tatizo lolote lipo kama jipya.
Mashine ya kufulia ni kilo 6 for 350000
0717622717 or 0776950000.
VIWANJA VINAUZWA,mita 20 kwa mita 20 (HATUA ZA MTU MZIMA 25 KWA 25) vipo MAJOHE -DAR-ES-SALAAM vipo barabarani, Viwanja viwili vya mbele bei ni m.15,viwanja vya nyuma m.14 barabara imeachwa kwa...
Ni mpya haina shida yoyot ile nimeitu siku mbili tu ni portable unawez kuhama nayo popote pale
No horsepower 1.5 ubarid wake ni mkali sana pia ni automatic kuzima na kuwasha kutokana na ulivyo...
Habar wana JF,ninauza eneo la ukubwa wa ekari moja na nusu maeneo mwasonga-kigamboni. Kuna nyumba ndogo imejengwa ya chumba na sebule ambayo bado haijakamilika.bei ni maelewano.nichek pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.