Habari,
Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo.
1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini
2) Ukubwa? Ekari 100+
3) Umbali toka barabara kuu: 5km
4) Hali yake...
WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million.
ENEO: BUKAGA, KISHIRI
KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17.
NYARAKA: HATI YA MAUZIANO
BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU...
Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro
Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi
Kinafikika kwa hali zote
Ni kiwanja no 3775
Bei Tsh.2.5m
Njoo Mazungumzo yapo
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mjini Nzega,bei 5m.Kipo Mita 150 toka Rami,Mita 600 toka Stand Kuu ya Mabasi,Ujazo SQM 876,kuna Maji na Umeme.Matumizi ni biashara hususani Lodge/Hotel,Godown...
• Direction: Magomeni Makanya
• Facilities: Old house and 6 frames
• Plot Area: 350 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 250 million
• Site Visiting: TZS 30,000
.
✓ ni kiwanja cha kona
✓ kipo...
Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3
Aisee wadau, kuna viwanja vimepimwa, viko tambarare karibu na bahari maeneo ya Buyuni centre Kigamboni.
Viwanja vipo kuanzia 420sqm hadi 700sqm na bei ni 2,000,000tsh hadi 2,500,000tsh.
Nicheck...
Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui
Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center
Dakika 7 tuu mpaka goba centre
Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho
Kiwanja kina sqm 700
Ni corner plot
Kina njia...
Nauza kiwanja Dodoma mjini maeneo ya Chidachi mlimani jirani na St. Mary's. Kina ukubwa wa sqm 600. Kina nyumba ambayo haijamaliziwa, ina vyumba vinne, viwili vikiwa master, sebule, dining, jiko...
Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside
Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km
Ukubwa ni 1,400 square metre
Bei ni 90m
Piga 0625617565
Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni...
Habari za wakati huu...
Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa...
Kiwanja kipo upande wa kulia kutokea Madale mwisho....
Kilomita mbili mpaka madale mwisho...
Kilomita mbili mpaka Goba njia nne...
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 150 linauzwa. Liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe, kijiji cha lwanzali kwani miundombinu yote iko sawa, na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi...
-Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1045
- kiwanja ni Tambalale
-umbali kutoka Fery ni KM 21
umbali kutoka baharini ni km 3 na kutoka Main Road ni km 3
kiwanja kipo Mtaa wa Shirikisho
Document - serikali...
Nunua kiwanja kwa bei chee.
Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20
Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9
Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6
Kiluvya kwa Sumaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.