Habari nyote,
Napenda kuwakaribisha kwa huduma zetu.
Tunapulizia dawa za kuuwa wadudu warukao na watambaao,majumbani na maofisini.Huu ni muda mzuri kuangamiza haswa mbu ukichukulia ugonjwa wa...
*EVATONY ELECTRONICS SOLUTION*
tunatoa huduma za ufundi(repair) na maboresho(maintenance) ya vifaa vya maofisini na stationeries. Vilevile tunafanya network configuration kwenye photocopier...
Karibuni sana watu wote wa kanda ya ziwa tuuziane na kununua bidhaa hapa..
Cha kufanya
Post bidhaa yako hapa
Weka bei na mawasiliano
Location uliopo
Karibuni nyoote...
TUNAUZA NDIZI MBICHI AINA MBALIMBALI KAMA VILE NDIZI UGANDA, MATOKE, KISUKARI, MSHALE N.K TUNAPATIKANA TUKUYU MBEYA. KWA YOYOTE AWEZAE HITAJI TOKA SEHEM MBALIMBALI TUWEZE WASILIANA KWA NA.0769 032...
Kiwanja chenye banda nyakato kinauzwa,kipo sehemu nzuri sana imejificha kwa kujenga guest.Gari inafika mpaka kiwanjani na umeme upo na maji nyumba ya pili ni ya dawasco ya kuweza unganisha tu...
Nawasalimu wafanyabiashara!
Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki.
Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane...
Inaitwa subaru impreza, gari imeinuka vizuri, muundoa mzuri, engine cc ndogo kukuwezesha kwenda umbali mrefu kwa mafuta machache, zipo zenye cc 1490-1500, ambazo ni sawa na engfine za toyota ist...
ORIGINAL imetumika miezi 3 bado mpya kabisa inanyoa vizuri sana bila tatizo,inafaa kwa matumizi ya nyumban na salon inauzwa kwasababu haitumiki Call/whatsapp 0764 876888 Dsm
Bei 55
Kwa picha zaidi ; WhatsApp 0677423349, Facebook page ; bidhaa zetu leo. Location. ; kariakoo dar es salaam mtaa Wa ndanda Mawasiliano. ; 0677423349 MIKOANI TUNATUMA DAR ES SALAAM TUNAKULETEA ULIPO
Ninatoa Mafunzo ya ICT, Nakufuata ulipo kukufundisha ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
MAFUNZO YA IT ANA KWA ANA
SN
MAFUNZO
ADA
MUDA / SIKU
01
Website Design
Tsh 50,000
2hrs /day (5...
Dili la chap chap,Used hp laptop for sale, screen inch 14, hdd 500gb unapewa na keyboard protector na screen protector poa,work perfectly
Call/whatsapp
0758728258
KARIBU KIMOMWE MOTORS KUPATA GARI KWA GHARAMA NAFUU KABISA, GARI AINA ZOTE ZA KUTEMBELEA, BIASHARA PAMOJA GARI ZA MIZIGO.
TUPO MAGOMENI MAPIPA JENGO LA RUBEYA GHOROFA YA KWANZA
NJOO JIPATIE TOYOTA...
Habari za wakati huu...!!
Natafuta mtu anayeuza kitanda na godoro lake aniuzie ila viwe katika hali nzuri... Itapendeza kama size itakuwa 4x6 au 5x6
Mawasiliano.. 0620 344312
MBAAZI- Huu ni mti maarufu sana kwa watu wengi na hutumika kama mboga ama chakula hasa kwa watu wa pwani
Pia kwa upande wa wa waganga,wanga,wachawi na baadhi ya majini na mashetani pia...
Nawasalimu wafanyabiashara!
Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki.
Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane...
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi, Jengo la Rubeya, Floor ya kwanza.
MAWASILIANO
0767362849
0676648992
Njoo uipatie wallpaper za ukutani za 3D kwabei poa kabisa
1. Upana 70cm na...