Nauza Gari hizi wana Mwanza

Nauza Gari hizi wana Mwanza

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
ImageUploadedByJamiiForums1412026436.082279.jpgImageUploadedByJamiiForums1412026597.883620.jpgImageUploadedByJamiiForums1412026636.710379.jpgImageUploadedByJamiiForums1412026686.249778.jpg
Bei ni nafuu sana Gari zote zina hali nzuri tuwasiliane Kwa namba 0788752672 " only serious customers plz"
 
bei nafuu ndo bei gani?tangazo halijitoshelezi sana unless utume vocha za wanunuzi kukupigia na kuulizia bei
 
Wabongo bado tunafanya biashara kizamani sana. Hivi kuweka bei kuna ugumu gani? Unapoweka bei inakuwa rahisi kwa mtu kuamua kama akupigie simu au la.
 
Wabongo bado tunafanya biashara kizamani sana. Hivi kuweka bei kuna ugumu gani? Unapoweka bei inakuwa rahisi kwa mtu kuamua kama akupigie simu au la.

Ok nimekuelewa,samahani sana hiyo vitz milioni 6.5,Noah milion 8.5 na surf milioni 9. Kwa Bahati nzuri hiyo hiace imashanunuliwa asanteni sana. Kwa maelezo zaidi 0788752672
 
Wewe utakuwa ni middle man ..
Kuweka bei ili tujue tuanzie wap kuna shida gani??
 
Ok nimekuelewa,samahani sana hiyo vitz milioni 6.5,Noah milion 8.5 na surf milioni 9. Kwa Bahati nzuri hiyo hiace imashanunuliwa asanteni sana. Kwa maelezo zaidi 0788752672

Safi. Hayo ndio mambo.
 
Tanzania kuna Bei Poa, Bei Nafuu, Bei Chee! sasa inaanzia kiasi gani na kuishia ngapi , haijulikani!?!?
 
Ok nimekuelewa,samahani sana hiyo vitz milioni 6.5,Noah milion 8.5 na surf milioni 9. Kwa Bahati nzuri hiyo hiace imashanunuliwa asanteni sana. Kwa maelezo zaidi 0788752672
Jerhy bei zipo hapa juu cheki tufanye biashara
 
Last edited by a moderator:
vitz milioni 6.5,Noah milion 8.5 na surf milioni 9. Kwa Bahati nzuri hiyo hiace imeshanunuliwa Kwa maelezo zaidi 0788752672
 
Bei nafuu!!!!!!!!!!!Ahsante kwa bei
 
Back
Top Bottom