Jifunze ICT popote Ulipo

Sir Hemedi

Senior Member
Sep 28, 2016
112
120
Ninatoa Mafunzo ya ICT, Nakufuata ulipo kukufundisha ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.

MAFUNZO YA IT ANA KWA ANA
SN
MAFUNZO
ADA
MUDA / SIKU
01​
Website Design
Tsh 50,000
2hrs /day (5 days)​
02​
Adobe Photoshop
Tsh 30,000
2hrs/ day (3 days)​
03​
Microsoft Excel
Tsh 30,000
2hrs/ day (3 days)​
04​
Blog Design
Tsh 20,000
2hrs/ day (2 days)​
05​
Microsoft Word
Tsh 20,000
2hrs/ day (2 days)​
06​
Internet & Email
Tsh 20,000​
2hrs/ day (2 days)​
07​
Canva Design
Tsh 25,000​
2hrs/ day (3 days)​
Mafunzo haya ni kwa waliopo mkoa wa Dar es Salaam tu. Ninakufuata ulipo ili kukufundisha, Contact MWL. HEMEDI 0672999266. Karibu sana!!!!!
 
Ninatoa Mafunzo ya ICT, Nakufuata ulipo kukufundisha ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.

MAFUNZO YA IT ANA KWA ANA

SN
MAFUNZO
ADA
MUDA / SIKU
01​
Website DesignTsh 50,000
2hrs /day (5 days)​
02​
Adobe PhotoshopTsh 30,000
2hrs/ day (3 days)​
03​
Microsoft ExcelTsh 30,000
2hrs/ day (3 days)​
04​
Blog DesignTsh 20,000
2hrs/ day (2 days)​
05​
Microsoft WordTsh 20,000
2hrs/ day (2 days)​
06​
Internet & Email
Tsh 20,000​
2hrs/ day (2 days)​
07​
Canva Design
Tsh 25,000​
2hrs/ day (3 days)​
Mafunzo haya ni kwa waliopo mkoa wa Dar es Salaam tu. Ninakufuata ulipo ili kukufundisha, Contact MWL. HEMEDI 0672999266. Karibu sana!!!!!
Hongera mkuu ila nina swali hapa.
Assume umepata wanafunzi 15 kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa dsm. Mfano Buza, Bunju, Ilala, Kigambon, Mbezi luis, Mbagala, Sinza, Madale nk. Na wanafunzi wote hao wanataka ratiba yao ianze baada ya muda wa kazi yaani kuanzia saa12 jioni.
Naomba utaratibu wako jinsi utavyojigawa! Pia malipo unachukua baada ya somo kumaliza au unapoanza kusoma tu ndipo malipo hufanyika?
 
Hahahahaah JF bana
Yaani mtu kaweka tangazo na fursa mnajadili atakavyolitekeleza?

Usitake kujua atakuwa na wanafunzi wangapi, wewe jiunge upate ujuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom