Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine. Sqm ni 1280 Sehemu ni Nyamhongolo Bei 25M bei mazungumzo Simu: 0621 622 070.
6 Reactions
34 Replies
2K Views
MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei...
0 Reactions
7 Replies
57 Views
Kinaangalia barabara ya Morogoro road
0 Reactions
9 Replies
143 Views
Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua...
2 Reactions
15 Replies
560 Views
Viwanja Viwili Vinauzwa. Mahali: Kigamboni Tundwi Songani. -Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu. -Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na...
2 Reactions
4 Replies
182 Views
Habari, nauza kiwanja Dodoma kipo eneo la michese square meter 520, hati ipo,bei mil. 15 kwa maelezo zaidi nitafute.
1 Reactions
2 Replies
558 Views
KIWANJA KINAUZWA KIPO CHANIKA BUYUNI KINA MITA 20KWA25 BEI MILIONI 4,500,000 PIGA 0723057669
0 Reactions
0 Replies
31 Views
🏡 KIWANJA 3,109 SQM KINAPATIKANA – BARABARA KUU YA MSATA, MAKURUNGE BAGAMOYO Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji eneo kubwa lenye access nzuri ya barabara kuu kwa ajili ya biashara, lodge...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Habari ndugu, Kwa wale wanaovutiwa kuwekeza katika kilimo, Ndani ya mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe, Tarafa ya Lupembe, nimewaletea mashamba mahususi kwa dhumuni hilo. Kuna jumla ya ekari 400...
1 Reactions
1 Replies
325 Views
guest-1788672427
Kiwanja hiki kinauzwa kibaha kwa mfipa 5.5M Upande wa mama Anna Mkapa. Km 5 kutoka morogoro road Mawasiliano 0754088347
0 Reactions
7 Replies
112 Views
FORODHANI CITY nakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema, BEI SASA NI MILIONI MOJA NA LAKI TATU (1300000) TU . Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA, UKUBWA kwa kila...
4 Reactions
137 Replies
10K Views
guest-1788672427
Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
HAYA! HAYA! HAYA! Kumekucha! KAZI mpya KABISAA hii HAPA👇👇👇 KIWANJA KINAUZWA Location: Mandela Road (MAIN ROAD) Umiliki: Hati safi Ukubwa: SQM 1600 Unaweza kujenga Yadi Apartment Au jengo...
1 Reactions
2 Replies
76 Views
guest-1788672427
Kiwanja kinauzwa KIBAHA KWA MFIPA kwa dharura 6M,kina sq merter za mraba 500+ Hizi ni picha kiwanja kilipo, kuna huduma zote muhimu na tayari kuna makazi ya watu. Kimepimwa tayari na hakina...
0 Reactions
5 Replies
64 Views
Plot For Sale. Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary/Ibn Rushdy school. 2nd row from beach, 100m away from Indian ocean. Size: SQM 911. Price: Tsh 250 Million. Document: Clean...
1 Reactions
3 Replies
51 Views
Plot For Sale at Masaki. Location: Msirikale st. Plot size: Sqft 16788~ Sqm 1559.66 Price: $1.7M. Slightly Negotiable. Document: Asante Mkapa. 10yrs remains. For more information or to schedule a...
1 Reactions
0 Replies
35 Views
Kibada(1.4km kutokea kibada centre) Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote Ukubwa wa Eneo: Sqm 580 Nyaraka: Hatimiliki Bei: Tzs Milioni 20.3 Vumilia ukooni-Kisarawe II(2km kutokea DSM...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Habari wanajukwaa. Nina kiwanja cha kwangu mwenyewe (kina hati tayari). Kiwanja kipo Tundwi Songani mbele ya Mwasonga mbele kidogo ya chuo cha kilimo cha Wajapani. Kiwanja kina ukubwa wa square...
3 Reactions
14 Replies
182 Views
Nauza kiwanja changu hapo Mwanza Buswelu mtaa wa kahama ukubwa ni 28 kwa 18 Nipe 2.5M uchukue mali ...0756038510...nicheki nikujnganushe na sister hapo Mwanza uchukue mali mie nipo Dar
1 Reactions
8 Replies
285 Views
Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho. Kipo barabarani kabisa Nitumie message inbox if...
0 Reactions
12 Replies
268 Views
Back
Top Bottom