Realm of eternity

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,929
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele
Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada kwamba hakuna kinachodumu milele katika umbo lilelile
Tunaishi katika mzunguko wa mabadiliko wa milele (eternity realm of revolution)
Wewe wa jana si wewe wa leo wala hutakuwa wewe wa kesho nk ulitungwa mimba ukazaliwa ukapitia yote uliyopitia mpaka ukafika muda wa kusoma hii post na niamini ukitoka hapa hutakuwa wewe uliyeingia hapa. Tunaishi katika dunia ya mabadiliko yasiyokoma mpaka kufa na kuingia katika hatua ya ulimwengu mwingine ni nonstop changes to eternity
Tunaambiwa kuwa kifo sio mchakato bali ni mwanzo....death is not a process but a state...! Ni mnyonyoro usio na mwisho na usiokatika

Nawaambiaga watu upya wa kitu ndio mwanzo wa uchakavu wake unanunua gari jipya 0km, linanukia na kupendeza sana lakini unapolitia barabarani ndio mwanzo wa kuwa chuma chakavu, hakuna kitachachorudisha upya wake hakuna
Iitaendelea kuchakaa na kuzeeka mpaka litakapokuwa chuma chakavu kamili ambacho kitarudishwa kiwandani kuchakatwa na kutengenezwa vingine ambavyo navyo vitaingia kwenye mduara uleule wa mabadiliko mpaka navyo vitakaporejea kulekule

Tunamiliki vitu vya thamani na ghali sana tunajaribu kuvitunza na kuvipa ulinzi wa kutosha lakini vinapitia mzunguko uleule hata kufikia mahali vikawa ni vya kutupwa, kugawiwa kuharibiwa, kupotea nk na huko ndio vitakakopita havikai milele vitabadilika nakubadilika mpaka kuwa vitu vingine kabisa

Tunaishi katika ulimwengu wa tamaa ya kumiliki na kuhodhi, vile tunavyovipenda hatutaki vituondoke na huwa tunatumia gharama kubwa kuvilinda na huwa tunakimbia ukweli kuwa kuna siku vitakoma kuwa vyetu
Hivyo basi tufanye kazi tumiliki tuhodhi lakini ubinadamu wetu usitutoke na kufanya mambo mabaya kwakuwa na choyo chuki au roho mbaya kwa vitu ambavyo havikai milele
Wala tusiwe na ile craving iliyopitiliza ili hata siku vikitutoka tujue wazi kuwa hakuna kidumucho milele leo kipo kesho hakipo, penzi leo lipo kesho halipo jumba zuri leo lipo kesho halipo, madaraka leo yapo kesho hayapo
Ni realm of eternity- mzunguko wa milele usiokoma huu pekee ndio utakuwepo milele sio sisi wala vitu tunavyomiliki
 
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele
Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada kwamba hakuna kinachodumu milele katika umbo lilelile
Tunaishi katika mzunguko wa mabadiliko wa milele (eternity realm of revolution)
Wewe wa jana si wewe wa leo wala hutakuwa wewe wa kesho nk ulitungwa mimba ukazaliwa ukapitia yote uliyopitia mpaka ukafika muda wa kusoma hii post na niamini ukitoka hapa hutakuwa wewe uliyeingia hapa. Tunaishi katika dunia ya mabadiliko yasiyokoma mpaka kufa na kuingia katika hatua ya ulimwengu mwingine ni nonstop changes to eternity
Tunaambiwa kuwa kifo sio mchakato bali ni mwanzo....death is not a process but a state...! Ni mnyonyoro usio na mwisho na usiokatika

Nawaambiaga watu upya wa kitu ndio mwanzo wa uchakavu wake unanunua gari jipya 0km, linanukia na kupendeza sana lakini unapolitia barabarani ndio mwanzo wa kuwa chuma chakavu, hakuna kitachachorudisha upya wake hakuna
Iitaendelea kuchakaa na kuzeeka mpaka litakapokuwa chuma chakavu kamili ambacho kitarudishwa kiwandani kuchakatwa na kutengenezwa vingine ambavyo navyo vitaingia kwenye mduara uleule wa mabadiliko mpaka navyo vitakaporejea kulekule

Tunamiliki vitu vya thamani na ghali sana tunajaribu kuvitunza na kuvipa ulinzi wa kutosha lakini vinapitia mzunguko uleule hata kufikia mahali vikawa ni vya kutupwa, kugawiwa kuharibiwa, kuharibiwa kupoteana nk na huko more vitakakopita hakivai milele vitabadilika nakubadilika mpaka kuwa vitu vingine kabisa
1439264906111.jpg

1439264885199.jpg
 
Sawa mkuu lakini nayasukuma mashambulizi yako mpaka Mtaa wa Lumumba
 
Wale kwasasa wako kwenye realm ya cause and effect,wanavuna walichopanda Mnyenz,kanuni za kiasili za kidunia ambazo haziko chini ya mamlaka yoyote yake ya kibinadamu ndio zinafanya kazi sasa, kanuni za mabadiliko muda sahihi unapowafia
Wanaweza kuvaa miwani ya mbao na kuziba masikio kwa nta huku wakijivika nira za kiburi ujuaji na ubabe, wasione,kusikia wala kutambua kinachoendelea kwa sasa!lakini hawataweza kamwe kuzuia mabadiliko yasitokee....wajifunze kilichotokea mashariki ya kati
 
Last edited by a moderator:
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele
Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada kwamba hakuna kinachodumu milele katika umbo lilelile
Tunaishi katika mzunguko wa mabadiliko wa milele (eternity realm of revolution)
Wewe wa jana si wewe wa leo wala hutakuwa wewe wa kesho nk ulitungwa mimba ukazaliwa ukapitia yote uliyopitia mpaka ukafika muda wa kusoma hii post na niamini ukitoka hapa hutakuwa wewe uliyeingia hapa. Tunaishi katika dunia ya mabadiliko yasiyokoma mpaka kufa na kuingia katika hatua ya ulimwengu mwingine ni nonstop changes to eternity
Tunaambiwa kuwa kifo sio mchakato bali ni mwanzo....death is not a process but a state...! Ni mnyonyoro usio na mwisho na usiokatika

Nawaambiaga watu upya wa kitu ndio mwanzo wa uchakavu wake unanunua gari jipya 0km, linanukia na kupendeza sana lakini unapolitia barabarani ndio mwanzo wa kuwa chuma chakavu, hakuna kitachachorudisha upya wake hakuna
Iitaendelea kuchakaa na kuzeeka mpaka litakapokuwa chuma chakavu kamili ambacho kitarudishwa kiwandani kuchakatwa na kutengenezwa vingine ambavyo navyo vitaingia kwenye mduara uleule wa mabadiliko mpaka navyo vitakaporejea kulekule

Tunamiliki vitu vya thamani na ghali sana tunajaribu kuvitunza na kuvipa ulinzi wa kutosha lakini vinapitia mzunguko uleule hata kufikia mahali vikawa ni vya kutupwa, kugawiwa kuharibiwa, kuharibiwa kupoteana nk na huko more vitakakopita hakivai milele vitabadilika nakubadilika mpaka kuwa vitu vingine kabisa

Tunaishi katika ulimwengu wa tamaa ya kumiliki na kuhodhi, vile tunavyovipenda hatutaki vituondoke na huwa tunatumia gharama kubwa kuvilinda na huwa tunakimbia ukweli kuwa kuna siku vitakoma kuwa vyetu
Hivyo basi tufanye kazi tumiliki tuhodhi lakini ubinadamu wetu usitutoke na kufanya mambo mabaya kwakuwa na choyo chuki au roho mbaya kwa vitu ambavyo havikai milele
Wala tusiwe na ile craving iliyopitiliza ili hata siku vikitutoka tujue wazi kuwa hakuna kidumucho milele leo kipo kesho hakipo, penzi leo lipo kesho halipo jumba zuri leo lipo kesho halipo, madaraka leo yapo kesho hayapo
Ni realm of eternity- mzunguko wa milele usiokoma huu pekee ndio utakuwepo milele sio sisi wala vitu tunavyomiliki

Tupo pamoja sana mkuu Mshana Jr.

Karibuni yote uliyoyasema hapa ndio yaliyopo kwenye imani yangu kwa sasa. Lakini haya unayosema naona kama yanakinzana na imani ya hizi dini zetu tatu kuu (Abrahamic religions) yaani, Christianity, Islam na Judaism.

Ukichukulia sisi binadamu na miili yetu basi ulichokiandika hapa ni sawa kabisa:

  • Tunazaliwa (kutoka mavumbini), tunakula maraha yetu au shida zetu maishani, halafu tunakufa.

  • Tukifa, (tunarudi mavumbini) tunaoza na kuwa mbolea kwa mimea au tunaliwa na wanyama, (na ndio maana dini za wenzetu hawaziki. Unachomwa au unaachwa uliwe na wanyama/ndege).

  • Protein zetu zilizoliwa na wanyama au mimea (ambayo italiwa na wanyama au watu) zitatengeneza sperms au mayai (viini vya maisha mapya) yatakayozalisha mnyama, binadamu au mmea mpya.

SWALI:
Dini kuu zinasema sisi tuna roho au kama ulivyosema "ubinadamu wetu". Katika maelezo yako hapa ya realm of eternity, hizi roho zipo katika huu mzunguuko au hakuna roho kabisa?
 
A soul once created is dwelling into the realm of eternity forever but in the sequence of impermanence
Na hii ipo pia hata kwa dini zetu kwamba baada ya kifo roho zitaenda kuzimu au peponi kuishi maisha ya raha au shida milele au zitasubiri mwisho wa dunia ambapo zitahukumiwa na kwenda kuishi milele jehanam au peponi
 
Mshana Jr, mi nakuchanganyia humu swali ila haliusiani na bandiko hili.
Kuna mada yako nilikuwa napitia humu jana ila sikumbuki heading inasemaje (mie ni msomaji mzuri wa mada zako) uliandika kwamba mafuta ya mzeituni /tunda la mzeituni pamoja na chumvi waweza kutumia kunuiza kila unachokita. Je kunuiza hakuna tofauti na kufanya kiapo cha kimya?
 
Hapana kunuiya na kuapa ni vitu viwili tofauti japo vyenye mwelekeo mmoja
 
Tunapozungumzia hili gurudumu au mzunguko wa milele ni mada yenye ncha nyingi kama minyororo ya milele na yale madhara ya kila sekunde na ukarabati wake kwa kutumia kipimo maalum, naweka picha kwa ufafanuzi zaidi
1454232077467.jpg
Hapo kuna mpaka hata madhara ya hizi dini tunazoziamini sana lakini pia kuzuia mnyonyoro/mzunguko wa milele usipotee kuna ukarabati wake/uponyaji wake kama mchoro ulivyo kila sekunde inayopita na kiwango cha madhara nitafanunua
1454232281134.jpg

Kuna mtiririko usiokoma wenye kasi ya supersonic na hii ni nguvu juu ya nguvu zote inayoifanya dunia iwe ilivyo leo tokea hapo mwanzo wake wowote uwepo wake wa sasa na ujao
 
Back
Top Bottom