Kuondoa sumu katika ini na figo(detoxification of the liver and kidney)

health

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
325
38
Habari wanajamii na bila shaka mnaendelea vema na kazi za kila siku. Mimi huwa napenda kumshukuru kila mmoja ambaye anajali maisha ya mwingine pia kuweza kutoa elimu kwa wengine pia. Hapa napenda kuwajulisha/kutoa elimu kwa jamiii kuhusu namna mtu anavyoweza kuondoa sumu katika ini na figo kwa lugha ya kigeni DETOXIFICATION OF THE LIVER AND KIDNEY.

Binadamu anatakiwa aishi maisha mazuri yenye afya njema na kwa kufanya hivyo anaweza kuishi kwa muda mrefu pia sababu mwili unakuwa hauchoshwi na chochote. Tunaambiwa muda wa kuishi umepungua hadi muda Fulani kumbe siyo hivyo inavyotakiwa iwe.

Muda unapungua kutokana na mwendelezo wa maisha yetu ya kila siku kwa kuelewa tunachokifanya na kudharau au kutokuelewa kwa wengine ambayo elimu ni muhimu. Unaweza kufuatilia hizi bidhaa muhimu za afya zilizoandaliwa kiasilia na kuthibitishwa kutokuwa na madhara kiafya.

GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Hypomnesis
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-na GOLDEN SIX 38000/-
 
Watanzania acheni kudanganyana na uganga wa uongo na kusababisha watu wanaenda hospitali na chronic diseases. Kuna wengine wanakujaga na ooh sijui machine ya kusafisha damu kumbe electrolysis inafanyika wanakwambia umesafishwa. Himizeni watu kula natural food ili kupunguza accumulation ya sumu kwenye miili yao. Can you imagine pamoja na advancement ya medical services in india more than a million wanahitaji dialysis every year? Hizi huduma za sijui kusafisha ini au figo si wangeshaziimarisha huko? Tusitumie stress za watu kuumwa kuwalisha hadi mavi.
 
Tafuta lugha nzuri ya kufikisha ujumbe katika jamii. Mimi nashauri kama mtu anaumwa au ana tatizo lolote asikimbilie kwa waganga inatakiwa aende hospitalini ili aweze kugundua tatizo lake. Mtu akinielezea kuwa ana tatizo la ugonjwa na nimsaidie msaada wa kwanza kumpa ni huo kuwa aende hospitalini.
 
Habari wanajamii na bila shaka mnaendelea vema na kazi za kila siku. Mimi huwa napenda kumshukuru kila mmoja ambaye anajali maisha ya mwingine pia kuweza kutoa elimu kwa wengine pia. Hapa napenda kuwajulisha/kutoa elimu kwa jamiii kuhusu namna mtu anavyoweza kuondoa sumu katika ini na figo kwa lugha ya kigeni DETOXIFICATION OF THE LIVER AND KIDNEY.
Binadamu anatakiwa aishi maisha mazuri yenye afya njema na kwa kufanya hivyo anaweza kuishi kwa muda mrefu pia sababu mwili unakuwa hauchoshwi na chochote. Tunaambiwa muda wa kuishi umepungua hadi muda Fulani kumbe siyo hivyo inavyotakiwa iwe. Muda unapungua kutokana na mwendelezo wa maisha yetu ya kila siku kwa kuelewa tunachokifanya na kudharau au kutokuelewa kwa wengine ambayo elimu ni muhimu. Unaweza kufuatilia hizi bidhaa muhimu za afya zilizoandaliwa kiasilia na kuthibitishwa kutokuwa na madhara kiafya.

GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Hypomnesis
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-na GOLDEN SIX 38000/-

Hujaeleza kuhusu OZI> Unatumia kwa muda gani, vidonge vingapi?? au ndio kila siku maishani?
 
Hiyo siyo dawa nsimba. Anayechukua kwa ajili ya afya anapewa maelekezo ya namna inavyotumiwa. Mtu hawezi akawa anatumia kila siku maishani
 
mbona bei kubwa sana mkuu?

Hiyo bei siyo kubwa mkuu ni bei yenye kuwezesha tu watu kuendelea kuipata huduma. Gharama za upatikanaji wa materials, uandaaji, uhifadhi wake pamoja na usafirishaji ndiyo inachangiwa wanajamii
 
Hayo manini slim niliwahi yatumia waweza ondoka bila WOSIA WA MANENO tuwe waangalifu na mikorokoro mingine.
Huko yanapotoka wanapunguza uzito wa miili yao kwa mazoezi wanajenga afya zao kwa Milo HALISI sisi mnataka HUTUDANGANYA na MIDUDE GANI SIJUI HUKO! Hivi nyie hamuwaonei huruma ndugu zenu kuwauzia hayo MADUDE?!!!?
KAZI KUYABADILI MAJINA KILA UCHAO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom