Unanijua mi nani inarudi kwa kasi , msamaha wa Mbowe utufumbue macho

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Kuingizwa kwa Mbowe kwenye haya mashitaka imekuwa faida sana kwa wale makomandoo waliokuwa ndani tayari kwa kesi hii.

Bila kuingizwa Mbowe wangefungwa ama wangekaa rumande kwa muda mrefu zaidi.

Swali ni Je, ni wangapi humu tunaweza kubambikiwa kesi halafu akaunganishwa Mbowe kwenye kesi yetu?

Hapo ndipo mtajua kwanini katiba mpya ni muhimu.

Kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 60, watu wanaweza kukuweka ndani miaka mingi, halafu siku moja, jamaa waliokuweka ndani wakasema hatuna nia ya kuendelea na kesi, na mambo yakaishia hivyo tu.

Tutakapokuwa wakubwa tutadai uamuzi wa kutokuwa na nia ya kuendela na kesi uwe na maelezo ya sababu za kutosha.

Il kama kesi ilikuwa ya kubumba kuwe na watu wa kuwajibika. Kama kuna jinai kweli hukumu itoke kama wanavyohukumiwa wakosaji wengine wa kosa hilo.
 
We mjane tulia unyolewe.
 
20220303_182115.jpg
20220303_182249.jpg
 
Ila Leo umehangaika dada!! Tulia basi hata unywe maji? Hii thread ya ngapi unaanzisha??
 
Inasikitisha ukifikiria kuwa kuna wenzetu wanajikuta miungu wangu. Unawaza hawa wana hawamuogopi hata Mungu na hawana hofu kabisa. EEh Mwenyezi Mungu naomba unitie nguvu na kunitoa kibri, niongoze siku zote za maisha yangu. .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom