Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,885
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGWA ILI UPUMBAVU UTOKE

Na, Robert Heriel

Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, wake zetu, shangaza na bibi zetu. Ni viumbe muhimu kwetu na dunia kwa ujumla.

Wapo wanawake wa ina mbili naam aina tatu ambao wakiolewa huwa tafrani ndani ya ndoa; Mwanamke Malaya, mwanamke mchawi na mwanamke mpumbavu. Adhabu za wanawake hawa zinafanana kwani wote lazima wavunje ndoa. Adhabu ya jumla ni kufukuzwa ndani ya ndoa ikiwezekana kwa kipigo kikali.

Adhabu ya mwanamke mchawi ni kifo, tena afe kifo cha uchungu. Adhabu ya mwanamke malaya nayo ni kifo, adhabu ya mwanamke mpumbavu ni kumuacha ili akakutana na wapumbavu wenzake.

Kupigwa kwa Shilole kunaweza kuwa sawa au isiwe sawa kutegemeana na sababu ya iliyomfanya apigwe. Kama upumbavu ndio sababu basi alipaswa apigwe zaidi ya hapo ili akili imkae sawa.

Wanaume wa siku hizi kuna sehemu tunafeli ndio maana wanawake wapumbavu wanaongezeka kila kukicha. Upumbavu wa wanawake chanzo chake kikuu ni ulegevu wa wanaume. Mwanamke anafanya vile atakavyo, anakudharau, anawanaume mia kidogo na unawafahamu alafu unakuta mwanaume unacheka cheka kama fala. Unacheka cheka nini, Piga makofi, ukiona habadiliki, piga ngumi, ukiona bado upumbavu wake kaung'ang'ania, piga vichwa akili imkae sawa ukiona imeshindikana piga chini. muache maana utakuja kuua, upumbavu wake umeshikana na roho yake kumaanisha ukiutoa naye anakufa.

Mwanaume hakuna muda wa kubembelezana, mbembeleze mwanamke mcha Mungu, mwanamke anayejiheshimu, mwanamke anayekuheshimu kama Mume wake, huyo mbembeleze lakini wanawake wapumbavu piga makofi, chapa bakora, usijali kwenda polisi, usijali kuitwa kwenye vikao, kama hao ndio wanamfundisha upuuzi waambie wamchukue. Mwanaume lazima uwe ngangari.

Jamii yenye wanaume Ngangari huzalisha wanawake wenye akili, wenye heshima na adabu, wanawake wachapakazi. Lakini jamii zenye wanaume legelege, mwanaume anamdomo kuliko vitendo huzalisha wanawake malaya, wanawake wasio na adabu, wanawake wa hovyo. Jamii ya Wasukuma, Wakurya, Wamasai na baadhi ya Wachaga ni jamii ambayo wanaume zao ni wakali, hawataki mchezo. Usishangae kuona wanawake wao nao wakawa heavy weight kwenye masuala ya maendeleo, heshima, uchapakazi, na utii. Wanawake wa jamii hizi huhitaji mwanaume aliyekamilika, mwanaume anayejielewa, asiyetaka mchezo. Ukizingua unachapika, kisha unapewa hela ya kwenda hospitali.

Huwezi mwanamke ukalala nje au ukachelewa kurudi nyumbani ati uje tujadiliane, tunajadiliana nini, utanambia nini ambacho ulishindwa kuniaga. Yaani unajiamulia kama mwanaume tangu lini. Sasa utachapika, utapigika na kama utataka kwenda kwenu nenda huko walipokufundisha upuuzi huo. Waambie Mume wangu kanipiga kwa sababu sikumuaga, nililala nje, au nilichelewa kurudi nyumbani bila ya taarifa. Ukiongeza maneno, nikiitwa unachapika mbele ya wazazi wako walioshindwa kukulea, mbele ya polisi ili wajue kuwa wapo waanaume wasiotaka upumbavu.

Yaani nikute sms ya kipumbavu kwenye simu, ati unabebika na mtu mwingine mimi nikuchekee, unachapika, hakuna muda wa kuomba msamaha kwenye mambo kama hayo. Huwa wanaume hawajadili mambo ya kipuuzi, ati huyu ni nani, ulikuwa unaongea naye nini? wakati sms zinajieleza. Mwanamke utachapika, utapigika nusura ufe. Yakikushinda nenda kwenu, au tafuta wanaume wapumbavu watakaovumilia upumbavu wako.

Mimi ndiye nimekuoa, sio serikali, wala sio kanisa. Wewe sio mke wa kanisa au mke wa serikali. Wewe ni Mke wangu. Ukizingua huzingui serikali wala kanisa, unanizingua mimi. Kanisa halitakuonea wivu wala serikali, mimi ndiye ninayekuonea wivu. Serikali na kanisa havitajisikia vibaya pale unaponifanyia upumbuvu, ni mimi nitakayejisikia vibaya. Utachapika, utasagika, utamalizika, atakayekutetea mfuate huyo ukaishi naye.

Mwanaume sharti ufanye kazi kama mwanaume, sio unazubaa zubaa kama mtoto wa kike. Ndio maana baadhi ya wanaume siku hizi kwa ulegevu wanashindwa na wanawake. Utampigaje mtu anayekulisha, yeye ndiye anatakiwa akupige kwa kuwa yeye ndiye mwanaume, anakulea, anakuvalisha, anakulisha, analipa kodi, anasomesha watoto wako bado umpige, thubutuu! Ukimpiga utakuwa umechanganyikiwa, maana umempiga mumeo hata kama ni mwanamke.

Tunajua wanawake wapumbavu wanateteana, hilo halitakwamisha juhudi za wanaume wanaojielewa. Yaani wanaume wawasikilize wanawake wapumbavu, looh! Wapo wanawake wa kusikilizwa lakini sio wanawake wapumbavu. Mwanamke yeyote awe mkubwa awe mdogo, awe anacheo kiasi gani, awe na mali namna gani, ikiwa atawatetea wanawake wapumbavu wasiojielewa naye ni mpumbavu Kwani wapumbavu huteteana.

Yaani umtetee mwanamke aliyepigwa kwa kosa la kulala nje, aliyefumaniwa, aliyemdharau mume wake, aliyechelewa kurudi nyumbani bila taarifa, aliyeondoka nyumbani bila taarifa, aliyekutwa na sms za kipuuzi. Wewe ni mpumbavu, bila kujali wewe ni nani.

Mwanamke mpumbavu utamuona kwenye maneno yake, mavazi yake, matendo yake, chaguzi zake, mwanamke mpumbavu utamuona jinsi anavyomchukulia mume wake. Pia utamuona siku akichagua mume wa kumuoa.

Zingatia; Wapo pia wanaume wapumbavu, ambao utawatambua kwa mambo haya; Hapendi kufanya kazi yeye anategemea kulelewa, kupewa pesa na mwanamke, hupenda urembo kama mwanamke, hupenda umalaya yaani anatamaa ya ngono, kila mwanamke anamtaka, hawezi majukumu yake kama mume, hana maamuzi magumu, kila kitu anategemea kushauriwa na hata akishauriwa hatafanya, analia lia kama mwanamke hata kwa mambo madogo.

Wanawake wenye hekima kamwe hawawezi kuwa na wanaume wapumbavu kwa sababu hawana uwezo wa kuwabadilisha. Wanawake wenye hekima huweza kuolewa na mwanaume mjinga anamfundisha mpaka akawa mume bora, lakini mwanaume mpumbavu hafundishiki. Utasema utachoka.

Mwanaume mwenye hekima huweza kuoa mwanamke mpumbavu, kwani anauwezo wa kumbadilisha kwa vipigo, micharazo, bakora na viboko. Upumbavu unaondolewa kwa bakora, lakini ujinga kwa maonyo mafunzo.

Mwanaume kama huwezi kupiga kamwe usimuoe mwanamke mpumbavu, utakufa siku sio zako.

Muhimu: Mwanamke mwema hapigwi, huonywa na kufunzwa. Ni dhambi kumpiga mke mwema kwa ujinga wake, bali mfunze kwa upendo. Pia ni dhambi kutokumpa mapigo mwanamke mpumbavu, kwani ndoa hiyo haitadumu. Mpige mkeo kwa upendo mpaka upumbavu umtoke, lakini kama umeshikana na roho yake achana naye usijeukaua.

Vipigo viendelee!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
 
Kule ukweni ulipoaibika walikuozesha mke? Kama walikuozesha usijaribu kumpiga utaaibika tena.

Mimi nimejipambanua mkuu, sina unafiki, mke wangu yupo humu anajua kile nikisemacho. Bahati nzuri natumia majina halisi, wakwe zangu wananielewa, mashemeji wananielewa, kiufupi nimejipambanua, sina unafiki mimi. Ukizingua unachapika, unasagika na kumalizika.
 
Japo sijasoma ila kumpiga Mwanamke ni udhaifu mkubwa

Kutokumpiga mwanamke mpumbavu ni kosa kubwa litakalo kugharimu sio wewe tuu hata kizazi chako.

Watu dizaini yako wengi ni walegevu, wasiojiamini, wasiochapa kazi, wasiojitambua na wafuata mkumbo.

Upumbavu huondolewa kwa bakora, hiyo ndio suluhu. Kma ulikuwa hujui nenda ukafunzwe
 
Shilole anazingua sana Halafu watu wananilaumu bila kutaka maelezo kutoka kwangu,mimi sijampiga shishi jana wala juzi..zile ni picha za kitambo sana siyo jana wala juzi.kwanza kuanzia majuzi shilole halali nyumbani sasa nimempiga wapi na saa ngapi?nimempiga kwenye banda lake la maonyesho ya sabasaba?
 
Shilole anazingua sana Halafu watu wananilaumu bila kutaka maelezo kutoka kwangu,mimi sijampiga shishi jana wala juzi..zile ni picha za kitambo sana siyo jana wala juzi.kwanza kuanzia majuzi shilole halali nyumbani sasa nimempiga wapi na saa ngapi?nimempiga kwenye banda lake la maonyesho ya sabasaba?

Si ndo hapo sasa ujiulize, sijui kapigwa muda gani? Shilole ni mnafiki sana
 
Shilole anazingua sana Halafu watu wananilaumu bila kutaka maelezo kutoka kwangu,mimi sijampiga shishi jana wala juzi..zile ni picha za kitambo sana siyo jana wala juzi.kwanza kuanzia majuzi shilole halali nyumbani sasa nimempiga wapi na saa ngapi?nimempiga kwenye banda lake la maonyesho ya sabasaba?

Hahahah! Ati anakulea? Samahani lakini maana najua ni tusi
 
Back
Top Bottom