Mkopo 2017

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Habari ndugu zangu Mimi ni mtoto yatima niliefanikiwa kujiendeleza kufikia ngazi ya stashahada.

Nimejiendeleza elimu hio kwa kujilipia ada mwenyewe.

Ninafanya biashara ya kuuza mitumba kununua na kutembeza barabarani.

Ndugu zangu kipato changu kwa sasa kidogo Sana nadaiwa kodi Naombeni mnijulishe sehem ya kukopa walau niweke vitu vya ndani kama zamana Nina TV, Kabati, PC, kitanda na meza natanguliza shukrani zangu za zati
 
Back
Top Bottom