Nimeamua kuwekeza kwenye uchawi na uganga

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,532
Natumai mu wa wazma wa afya njema kabisa.
Kila kukicha makanisa mbalimbali yanaanzishwa tena yenye kujipambanua kuwa yanawafanya vilema wa miguu kutembea na wengi wa waumini hao nimegundua hawana imani thabiti maana kila kukicha wao wanabadili madhehebu tu ili mradi kasikia au kaona matangazo ya upako kwenye luninga.

Kupotea kwa imani kati ya waumini mbalimbali kumenisukuma kuwekeza kwenye uchawi na uganga wa kienyeji.

*****uchawi
1. Km ww una ugomvi na jirani yako karibu
2, Kama ww una ugomvi na boss wako wa kazi karibu
3.Kama ww unataka kutoa kafara karibu
4. Km unataka kumgeuza mzinzi wako kuwa bata au kuku karibu
****Uganga
Nina tibu magonjwa sugu km kansa,upungufu wa kinga mwilini(ukimwi),uke kupanuka sana na kuwa na maji maji mengi,kunuka kikwapa muda wote,na mengne mengi
Km umefukuzwa kazi pia karibu
Km unataka kupendwa na wanawake/wanaume wenye pesa tu karibu.
Km unataka kuchaguliwa kuwa kiongozi na muheshiniwa rais karibu.
Napatikana sumbawanga.

@@@@Huduma
Ninakufikia popote pale ulipo kwa gharama zangu mwenyewe
SIRUHUSU MTU KUTUMA PESA KWA NJIA YOYOTE ILE MAANA MALIPO HUFANYIKA BAADA YS MGONJWA KUPONA

@@@@@Malipo
Hifanyika pale tu unapopona

@@@@utapeli.
Km ukipona na ukakataa kunilipa basi jiandae kuwa kuku au bata.

KARIBUNI SANA
 
Mkuu. Nitakuelekeza ukafanye ww mwenyewe nyumbani kwako. Ila ukipata mkopo maana yake utakuwa umefanikiwa hivo unitumie pesa

Kachukue mchanga kwenye ardhi ambayo wakat wa masika nyasi huwa hazioti. Baadae huo mchanga utauchanganya na mafuta ya paka mweusi ambaye utamchinja na kumkaanga wakati wa usiku wa manane. Mchanganyiko huo utajipaka wakati wa kulala ila usilale na mwanamke.
 
Nina ka mradi kangu nataka mtaji nimekosa pa kupata huo mtaji.

nifanyeje??
Usijali mkuu. Rahisi kabisa,chukua majani ya kisamvu halafu uyachemshe na maji yatokanayo uyaweke uchanganye na sh. 5000 iliyosagwa sagwa na uyaweke chini ya uvungu na usiku wa manane ukayaoge kwenye kaburi la mzaa bibi yako. Na wakat wa kurudi nyumbani usije kujangalia unakotoka
 
Mimi nataka matako ya mke wangu yawe makubwa vipi unaweza kunisaidia?
Ni rahisi sana mkuu. Tafta mti mmoja wa kati kati na mlima unaitwa itangajamashi. Chimba mizizi yake halafu umpe awe anakunywa kila siku Mara Tatu kwa siku 500mls. Ila usiku ukimuona kajikojolea chukua maji ya baridi umpe any we. Mkuu ukiona kaanza kuwa na matako makubwa pls nitumie hela yangu kumbuka nalipwa baada ya kuona MTU kafanikiwa
 
Natumai mu wa wazma wa afya njema kabisa.
Kila kukicha makanisa mbalimbali yanaanzishwa tena yenye kujipambanua kuwa yanawafanya vilema wa miguu kutembea na wengi wa waumini hao nimegundua hawana imani thabiti maana kila kukicha wao wanabadili madhehebu tu ili mradi kasikia au kaona matangazo ya upako kwenye luninga.

Kupotea kwa imani kati ya waumini mbalimbali kumenisukuma kuwekeza kwenye uchawi na uganga wa kienyeji.

*****uchawi
Km ww una ugomvi na jirani yako karibu
Kama ww una ugomvi na boss wako wa kazi karibu
Kama ww unataka kutoa kafara karibu
Km unataka kumgeuza mzinzi wako kuwa bata au kuku karibu
****Uganga
Nina tibu magonjwa sugu km kansa,upungufu wa kinga mwilini(ukimwi),uke kupanuka sana na kuwa na maji maji mengi,kunuka kikwapa muda wote,na mengne mengi
Km umefukuzwa kazi pia karibu
Km unataka jupendwa na wanawake/wanaume wenye pesa tu karibu.
Km unataka kuchaguliwa kuwa kiongozi na muheshiniwa rais karibu.
Napatikana sumbawanga.

@@@@Huduma
Ninakufikia popote pale ulipo kwa gharama zangu mwenyewe
SIRUHUSU MTU KUTUMA PESA KWA NJIA YOYOTE ILE MAANA MALIPO HUFANYIKA BAADA YS MGONJWA KUPONA

@@@@@Malipo
Hifanyika pale tu unapopona

@@@@utapeli.
Km ukipona na ukakataa kunilipa basi jiandae kuwa kuku au bata.

KARIBUNI SANA
Naona umetafuta ajira umekosa sasa umeamua kua tapeli.
 
Ningekuwa tapeli ningekuwa naomba pesa kwanza ndo nampa maelekezo ya dawa. Hapa nakupa maelekezo ya dawa na ukipona huna budi kutoa shukruni na usipopona basi haina haja ya kunitumia pesa zako. Mkuu nimesaidia wengi sana
Mkuu ofisi zako zipo wapi mkuu
 
Mkuu nipo sumbawanga. Ila kwa sasa nipo Zanzibar natoa Huduma maana mm huwafikia Wateja kokote kule walipo kwa gharama zangu. Nachojali mm upone
 
Back
Top Bottom