Hii pekee ipo Rwanda

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,303
Habari wandugu!

Leo ndio narudi Tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na Polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari sana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja na kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!

Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo idadi kubwa ya raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma iwe kofia pekee, au suruali, au shati au hata buti na hakuna police wala mjeshi anaehoji wazee wa usalama hawana maneno wao ni ulinzi tu kwa kwenda mbele.Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.

Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.

Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani, mtanisaidia tafadhali wandugu.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
 
Karibu sana Mkuu. Yote ulo ya nena yana kaukweli isipokuwa hilo la raia kuvaa nguo za kijeshi. Nadhani huyo alikuwa Mjeshi pia.

Ongezea hizi mbili:

Ukisema wewe ni Mtz unafuatiliwa zaidi kuliko Mganda.

Askari polisi wako mitaani na field radio calls kama vile ni kwenye battle field.
 
Nilimdadisi saana huyu jamaa nikajua ni raia anaeuza vocha tu kwani alivaa na kale kakizibao ka MTN.

Ikoje ya watanzania na waganda hii mkuu?
 
Umuhimu wa plastick cover kwenye godoro hukuugundua ulivyomng'oa yule demu wa kitutsi pale club mkuu......
Alaaa kumbe! Sasa ndo nafunguka maana that night ilikuwa ni maji tu kama vita vya maji maji..

I was a plumber that day maana nlikuwa na sababu mbili muhimu moja lilikuwa ni jukumu la kitaifa kuthibitisha kwamba Bongo tunazijua shoo pia. Nyingine ilikuwa mtoto alikuwa mkali kwa hiyo niliona kama golden chance kwa maantiki hizo hapo juu niliazimika kuwa fundi bomba makini for a while maana maji yalikuwa yanatoka uncontrorablly.

Ilikuwa ndo fantasy yangu kugegeda show yenye maji...nlikua naenjoy saana fundi bomba nikiyatekenya maji anavyokakamaa na kurusha kama water fountain.aaha!

Swali la kizushi kwanini watu wengi wanamiliki maji saana kule kwa Kagame?

Now I know...Kumbe plastic cover ndo kazi yake.
 
Habari wandugu!

Leo ndio narudi tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari saana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja ba kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!

Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo kila raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma. Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.

Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.

Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani..mtanisaidia tafadhali wandugu.

Rwanda kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
Mungu mkubwa!amenikutanisha nawe ili hali naenda Mwezi ujao na nilijawa na hofu sana na maneno yako yamenipa hamasa na faraja!nitakutafuta unipe maelezo zaidi!Hongera kwa kuitangaza nchi ya Rwanda;Hongera kwa kuwaelezea vema majirani zetu!!
 
Alaaa kumbe! Sasa ndo nafunguka maana that night ilikuwa ni maji tu kama vita vya maji maji..

I was a plumber that day maana nlikuwa na sababu mbili muhimu moja lilikuwa ni jukumu la kitaifa kuthibitisha kwamba Bongo tunazijua shoo pia. Nyingine ilikuwa mtoto alikuwa mkali kwa hiyo niliona kama golden chance kwa maantiki hizo hapo juu niliazimika kuwa fundi bomba makini for a while maana maji yalikuwa yanatoka uncontrorablly.

Ilikuwa ndo fantasy yangu kugegeda show yenye maji...nlikua naenjoy saana fundi bomba nikiyatekenya maji anavyokakamaa na kurusha kama water fountain.aaha!

Swali la kizushi kwanini watu wengi wanamiliki maji saana kule kwa Kagame?

Now I know...Kumbe plastic cover ndo kazi yake.

Hizo koki zilizopasuka ndio ninazipenda,inabidi na mimi niende Rwanda.
 
Hizo koki zilizopasuka ndio ninazipenda,inabidi na mimi niende Rwanda.
Ahahahhaa!! We jamaa ni mchizi. Eti koki zilizopasuka.

Ukiongea kiswahili tu pahali popote lazma ukapture attention ya watoto. Tena kiswahili ya Dar na sio ya Congo. Wanasema kiswahili ya Dar ni tamu zaidi ya ile ya Congo. Ukiwa unajua na ngeli wenyewe wanaamini utakuwa muwekezaji hivyo papuchi za kitusi zitakulaza na viatu.
 
Back
Top Bottom