Natafuta Mme Mtu Mzima

Kichwa cha habari kimejitosheleza, natafuta Mme Mtu mzima, umri 45 - 55.
Embu tupe wasifu wako hasa hasa income na shughuli unayofanya hapa mjini.. So nikulengeshe kwa cousin yangu ukaishia kwenda kumfuja tu
 
Best naona unahitaji kwenda kurithi mali za watu kama alivyofanya mke wa Dkt Slaa.
 
wasiliana na wizara ya afya na ustawi wa jamii ina makazi ya wazee wanaokufaa kuwatunza vizuri
 
Check na lemutuz akili kubwaz king of all social networks calling himself SUPER MONGUL!
Anakufaa sana..
 
Uwe tayar kupenda na kupendwa hasa, Yale mapenzi matamu na mazito unayohisi unayakosa mimi nitakupatia, ila tu usiwe mtu wa dogodogo yaan Penda Penda watoto, uwe na kazi au nafasi nzuri ili vilevile uweze kunitunza tufaidi penzi,.
 
"matamu na MAZITO" hii RAHA au KARAHA??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom