Nifahamisheni kuhusu "Good neighbors"

kidambinya

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,176
1,712
Ninaomba kufahamu kuhusu Good Neighbors International, hawa wapo Tegeta Wazo. Wamemuita dogo katika interview 17/03/2020.

Siwafamu kabisa kuhusu Maslahi Yao ingawaje kazi wanazofanya ninazifahamu, ambazo ni za kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aina ya mashirika ambayo yana element za “volunteerism” wanapokuja huku kwetu ingawa wenyewe wanajikipa vizuri ! kama dogo ni fresh from college wacha akapate uzoefu na ka package ka wastani ila kama ni guru wa miradi huko hawaendi!
 
Asante Kamanda!
But kabla ya kwenda ulipododosa uliambiwa kwa 1 degree unafikiri wanaweza kulipa kiasi gani? GROSS AND NET SALARY

Back
Top Bottom