Nimeingia Mlenga Shabaha: hasira nilizopata kutoka kwa msanii huyu anayejifikiria ndiyo rais wetu jinsi anavyo-deal na wafanyakazi masikini wa nchi hii imenifanya nijiunge na JF ili niwe natoa...
Hi,
In The Name of Tanzania, I salute you, both honorable members of Jamii Forum. I am Timothy Uggi, with a teaching profession and computer expert at Don Bosco Seminary Mafinga Iringa.
Aspiring...
Salaam nyingi ziwafikie wanajimii wote:wave:,
Rafiki yangu alipendekeza nijiunge na kwa kuangalia baadhi ya mazungumzo nimeona ni jambo jema kufanya hivyo. Kwa kweli Tanzania tunahitaji kuwa...
Hi guys,
I have just registered for the first time though I was reading all your posts, discussions and the like. I expect a warm welcome from you!
With regards,
Bright.
Nipokeeni kijana wenu ndani ya JF. Hope that we'll share a lot of things ili mwisho wa siku tupate 'madini' ya ukweli kwa mustakabali wa jamii yetu... More to say..! I love u all.