Mie ni mgeni hapa jamvini nikikosea sitajisikia vibaya kulekebishwa na kupewa maelekezo katika kuchangia hoja mitazamo na maoni mbali mbali, nimalize kwa kuwasalimu wote kila mwana jamvi kwa lugha...
Habari za majukumu Wajumbe, baada ya kuwa msomaji wa JF kwa muda sasa, leo nimeona namimi nijiunge rasmi ili kuweza
kuchangia mawazo katika mambo kadha wa kadha, tafadhili naomba upokezi wenu...
Nipokeeni.
Pia ningependa kupata ndondoo mbalimbali za matumizi ya jukwaa hili kama kuna maangalizo tupeane mapema.
Mfano nikitaka mchumba napataje....
Nikitaka kutangaza nauza simu yangu...