Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jina langu naitwa Mr Remy Modest nimevutiwa sana na mijadala ya kina inayofanyika jamii forums, hvyo nimeamua kujiunga na na majukwaa haya yenye kujenga na kuelimsha, naomba mnipokee wadau.
3 Reactions
5 Replies
784 Views
Habar nilitoka kidg nimelejeaa hodi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
629 Views
Ndo ivo!! Naombeni ushirikiano.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi hapa ni mgeni. Niliona vyema nijitambulishe kwenu, nikiwa na nia njema. Nasoma chuo cha Mzumbe (Morogoro), nipo 3rd yr kwa sasa. Tupo pamoja wadau.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba ushirikiano wenu humu ndani.
0 Reactions
3 Replies
851 Views
Nafurahi kuwa pamoja nanyi ndugu zangu. Ahsanteni
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajamvii wakubwa zangu dada na kaka, mdogo wenu naomba kuungana nanyi katika fikra za ki-logic . Mungu awe nanyi.
2 Reactions
6 Replies
892 Views
Mm ni mgeni humu ndani hivyo naamini tutashirikiana vzr.
0 Reactions
7 Replies
988 Views
Hodii Jf nafurahi kujumuika nanyi humu, naombeni ushirikiano wenu.
1 Reactions
3 Replies
748 Views
Habari za hapa ndani jamani, mko powaaaaa!!!!
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Hellow Jf members mi ni mgeni hapa. Ninatumaini tutashilikiana katika maoni mafunzo na ushauri. Asanteni
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu, naomba mnipokee nimejiunga leo na JF, asanteni.
2 Reactions
9 Replies
900 Views
Mim ni memba mpya humu ndani.. Kama Kuna maelekezo ya kutumia JF mnipatie . Maana bora ukosee njia kuliko kupost vichekesho kwenye jukwaa la siasa.
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Naomba mnipokee na ninawasalimu wakubwa kwa wadogo humu ukumbini. Leo ni siku kubwa kwetu nchi yetu ikiwa kwenye uchaguzi mkuu wa kitaifa, namimi nikaona niweke kumbukumbu kwa kuwa mwanachama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, member mpya hapa naombeni mnipokee. Natanguliza shukrani zangu.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mie mgeni jukwaa hili. Nimekua msomaji mzuri wa JF nami mnikaribishe rasmi hapa. Asanteni.
1 Reactions
4 Replies
764 Views
Nauza asali Mbichi Nyuki wakubwa ni asali Nzuri Sana pure kabisa dumu la Lita 20 Bei yake ni 165,000/= karibuni Sana
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow am Varny member of Jf,, I need your support Members...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi Mimi mgeni
0 Reactions
6 Replies
913 Views
Frank is here once again
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom