Mimi ni mtanzania mzawa, dini yangu ni mkristo, mi ni mzaliwa wa pande za kaskazini, NAAMINI MAISHA NI SIASA NA MIMI NI MFUASI WA CHAMA KIMOJA KATI YA CCM NA CDM. naombeni mnipokee
Hey leds and gentlemen i greet u in the name of jamii forum as platform 4every counscious person 2air his/her views and am so interested to join plz may we be togather 2bring +ve changes in our...
Nawasalimu wote!!!
Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa JF kwa miaka mitatu sasa.JF imekuwa chanzo muhimu cha habari kwangu!!! Kwa uamuzi na ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kujiunga ili kupata...