dear kaka chuse
pokea salamu kutoka kwa members wa forum ya wazua huko 'ng'ambo' kenya. Ulitutembelea huko na mafujo siku moja ukatualika hapa jamii forum. Mimi nimejisajilisha ili tujadiliane na...
Ni mtanganyika halisi, nisiku nying nimefatilia na kufurahishwa sana na hoja n.k ndan ya jf, kwasasa nimeamua kuingia rasmi, so na mengi sana ya ukombozi wa nchi hii tutashirikiana n.k, asanteni...