hodi humu ndani

Karibu ila viatu acha nje Mkuu.Tumeanza na sala na tunamaliza na sala teeee......teeeeh.
 
Mbona kama mzoefu hivi! Au unakaribisha hii ID?
enewey, karibu jf, kama umekuja ki ff soma signature yangu
 
Karibu lakini usiache viatu nje. Nyumba imeingiliwa na vibaka. Usiogope.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom