Halo wana JamiiForums nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi humu jamvini kwa muda mrefu na kufurahishwa mijadala inavyokwenda japo sikuwa memba. Kwa sasa imeamua kujiunga na jamvi hili ili na mimi...
Habar wadau. Nimeingia humu nikiamini kua wenyeji wote ni wazalendo wanaoipenda Tanzania na wako tayar kwa lolote ikiwa ni la lazima kuhakikisha nchi yetu inaenda sawa. Shida zinazotokana na...
Waungwana habari za siku nyingiKwa muda mrefu sana nimekuwa nje ya forum la wastaarabu kwa sababu zisizozuilika, nachua nafasi hii kuwasalimu na kuwaomba rasmi kunipokea tena. Kama ilivyo desturi...
Hatimaye leo nimeamua kubisha hodi rasmi ndani ya JF ili nami niwe mwanafamilia baada ya kuwa guest wa JF kwa muda mrefu ambapo nilipata fursa ya kufuatilia posts mbalimbali zenye hoja. Natarajia...