Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari za jioni, naona ndani humu mambo safi, michango ya fikra kibao, jioni njema.
0 Reactions
7 Replies
994 Views
Hodi Jamani. Samahani wana JF Baada ya kuchangia mara zaidi ya 80, Nimegundua kuna sehemu ya kujitambulisha. Ndo hivo jamani, STC - Saidia Tujenge Chetu, Pamoja na kukerwa na uhaini wa viongozi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii forum. Naitwa Nankwanga ni mkazi wa Newala. Tutakua pamoja sana na karibuni Newala.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hod hod naingia a new member
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Madaktari tvlieni msiwe na hofu mambo yenu yanashughulikiwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wakubwa tu ndo natoa hi salamu Kwa wadogo duu, nishapokea zenu long tym, Ni MC mkuu, nshatinga kwenye game, Nawapeleka tuuu, mabraza na masista duu, Kwenye hili jukwaa, naleta ushindani Japo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari zenu wanajamii, naomba kukaribishwa hadi ndani.
0 Reactions
4 Replies
861 Views
Hello! wenyewe mpo?
0 Reactions
5 Replies
907 Views
Hlw am in....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mgeeeeni tumeshazoea anakaribishwa setn rum tuuuu,mi ckubali nataka nikaribishwe kona zote jikon,lue, mpaka aaa bedrum la cvyo ni afadha;i niishie njeee....mgen mie napenda kujishughulisha hasa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi
Hi members !!! Am new to the forum, would like to greet you all. :A S 103:
1 Reactions
12 Replies
1K Views
JF ni kisima, Kisima cha hikma, Kisima cha maarifa. Nikaribisheni mwenzenu... hodi, hodi waungwana.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu mie mgeni jukwaani
1 Reactions
5 Replies
900 Views
Whats up everybody indahouz?:clap2::clap2:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa jina naitwa LONGITUDE. Naomba kukaribishwa na wana Jamiiforums wote waliopo hapa ndani kushiriki katika shughuli za kila siku hapa mjengoni. Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wanajamiiforums mie ni member mpya wa familia hii nipokeeni kwa mikono miwili tushirikiane.asante
0 Reactions
6 Replies
964 Views
jamani nipokeeni mgeni wenu kwa muda mrefu nilikuwa mfuatiliaji tu wa mambo kadha wa kadha yaliyokuwa yanazungumziwa humu JF nadhani sasa wakati muafaka kuingia na mimi nitoe mchango kwa kadiri...
0 Reactions
7 Replies
811 Views
Hodi!Baada ya kuona kumbe hata wachungaji na mashehe wapo humu jukwaani,cna shaka nimeamua kujiunga rasmi mnipokee.Asant
1 Reactions
25 Replies
2K Views
I think I am in!
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Hallo to all members to Jamii Forum. Keep it up as you are doing a great job.
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Back
Top Bottom