Nimekuwa nikifuatilia ukurasa huu kwa muda mrefu sana nikiwa nje, nimeona ni muda muafaka sasa wakuweza kuingia na kugawana au kushare mawazo na wadau wenzangu. asante
Cleary Mr Tsetse fly is very happy to start cooperating with the society through this social forum.It is very interesting to communicate with the society about various aspects around us.Personally...
Hodi wanajukwaa, kwakuwa hii ni post yangu ya kwanza, naomba nianze kwa kuwasalimia na kuwapongeza kwa kazi kubwa na nzuri ya kuijenga Tanzania Mpya na yenye Neema
I,m a Rookie as my status shows.....but I will change that soon...hopefully!!!!?
My Quote of the day:
"Failure is not necessarily missing the target, sometimes itis aiming too low!!"
Ciao and Jah...