Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimechoka kuwa Mgeni siku zote, sasa nataka kuwa mwenyeji, naomba mnipokee!
0 Reactions
6 Replies
852 Views
I am happy to be part of u JF
0 Reactions
4 Replies
1K Views
VIJANA ni nguvu kazi ya taifa, Kwa pamoja tujenge Tanzania imara kiuchumi kwa kuwekeza kwenye nguvu kazi ya VIJANA kama rasilimali kuu ya kujenga uchumi unaojitegemea.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninayo furaha kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili. Niko tayari kujifunza kutoka kwenu na kuwajuza ninayo yafahamu hasa yenye lengo la kutupanua kifikra.
0 Reactions
5 Replies
987 Views
hodi hodi
0 Reactions
6 Replies
922 Views
hi
Just hello
1 Reactions
6 Replies
918 Views
Dar eeh bwana jf raha sana so kama fb ni kutukanana na kudisiana! am very happy to be a jf member! naomba mnipokee kama new member!! pa1 sana wana jf!
0 Reactions
9 Replies
986 Views
Hi
Rahajipe in da house!! naomba mnipokee.
0 Reactions
5 Replies
874 Views
hi
Habari zenu? I am a new member
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wandugu nimekuwa nikivinjari JF kwa muda mrefu ss, nimeona ni utoto kuendelea kuvinjari jmvini pasipo kujiunga na wanafamilia,leo najitambulisha rasmi kwenu naomba mnipokee kwa mikono...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
:typing: Nafurahi sana kujiunga na JF.
0 Reactions
3 Replies
708 Views
tuache uvivu ,siasa,starehe,tuongeze idadi ya wanaelimu,tufanye kazi kwa ushirikiano ahs
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hellow!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari mabibi na mabwana, nafurahi kuwa sehemu ya familia ya jf. Asanteni kwa kunipokea na kunikaribisha.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Awali ya yote napenda kuwasilimu wote wakubwa kwa wadogo, shikamooni/vipi wandugu. Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili hivyo naomba ukaribisho wenu. Natumai nitapata mengi mf kuelimika na kuhabarika...
0 Reactions
6 Replies
803 Views
Aslaam waungwani, nipo kwa mara ya kwanza ktk glob hii mpango mzima.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani hodi humu,,,,,,,,,
0 Reactions
7 Replies
715 Views
nawapenda woote
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Aisee sa huko.........!
0 Reactions
6 Replies
992 Views
Hodi ......nipokeeni basi, dada yenu......
0 Reactions
5 Replies
815 Views
Back
Top Bottom