kijana nipo mulangon jamen' naomba mnikaribishe niwe amang of u grit sinka' wakinangosha' msiniache niende' we masanja chema kalibu bach' haya kina mwita mura' msiniache nitamuruke' haya nawewe...
Habari zenu great thinkers wote humu ndani,mi mgeni wenu mpya nilikuwa naomba ushirikiano wenu na mnihakikishie kweli humu ni kwa wale wanaothink great kwelikweli.
Nimekuwa nafuatilia kwa umakini zaidi ya miaka miwili mtandao huu wa Great thinkers,hakika nimeukubali na nimeamua rasmi kujiunga ili nami niweze kuwa nachangia mada mbalimbali.Hakika huu ni...
wakubwa shikamoo.
Wadogo zangu marahaba,
wa rika langu wambo niaje,
ni mgeni ndan ya jamvi, naomben kupokelewa, 2juzane,2elimishane,2kosoane na kuwekana sawa inapobd. Asanteni.
Nimekuwa mfuatiliaji wa muda mrefu wa jf,sasa nimeamua kujiunga nanyi wandugu,natumai nami nitafurahia jamii hii.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.