Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hellooooooo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam members! Just 2 say hello to u. Thanx!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bandugu wa JF, nimekuwa mfuatiliaji sana wa hii kitu,,, nimeona naweza kuwa nami mwana jamii,,, naomba tujenge sote Tanzania yetu...... Amen.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hellow wanajamvi nawasalimu ktk jina la muumba naomba mnipokee kwa mikono miwili tuko pamoja sana! Love u all!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
793 Views
mambo vipi? tupo pamoja
0 Reactions
6 Replies
792 Views
nawashukuru JF kwa kunikaribisha.nategemea ushirikiano wa wote waliomo humu ndani.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
May you all allow me to join the forum
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau naomba kukaribishwa kwenye jukwaa tupeane mawazo ya kujenga pamoja.pamoja
0 Reactions
6 Replies
765 Views
Nimekuwa nikisikia katika mijadala mbalimbali watu wakisema wanaJamii forum wamesema hivi ama vile, nikaona si vibaya nami nikijiunga na hawa great thinkers. NAOMBA KUKARIBISHWA.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumejaa au naweza ingia?
0 Reactions
6 Replies
883 Views
habari zenu, nimewafuma kumbe mko huku? nipeni stori za humu ndani,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
aje bhana, its brand n£w facè jaman, xo naomben mnipokee kama baba mkwe akitia miguu kwa mkwe ata kama hana p£sa itakopwa 2 ili kuondoa aibu ya mwaka.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hello., its great to join you people
0 Reactions
6 Replies
838 Views
Greetings 2 u all, napenda kujitambulisha Kama member mpya ktk mtandao huu wa kijamii. Naamini ntajifunza mengi kupitia members.. Gud evening 2 all
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodo hodi humu mjengoni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi 2u! Please! nikaribisheniii
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu wandugu.naomba mnipokee kwa moyo mmoja.mnisaidie niwasaidie.
0 Reactions
7 Replies
816 Views
habari za humu bandugu natumai mko wazima wote
0 Reactions
6 Replies
769 Views
Mgeni wenu jamani, kama ni jogoo basi wa shamba nipokeeni vizuri ili niwike huku mjini.
0 Reactions
9 Replies
849 Views
Back
Top Bottom