Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi ni mwanakundi mpya. Nawapenda wote.
0 Reactions
5 Replies
983 Views
NATUMAI TUTA WAZA TETE NA TUTASEMA TETE, TUTASHARE TETE NA KUANDIKA TETE ZAIDI YA TETESI. BASI HAYA , NAWAPENDA WOOOTE NA NAIPENDA SANA HII NCHI YA TANGANYIKA :kev:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naitwa SHAY2 ni ki2 kipya kabisa ndani ya JF SO NAOMBE USHIRIKIANO WENU, axanteni
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Hello! Wana jamii. Hivi ndo navyo jitambulisha kwenye jukwaa hili.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naja ivyo
0 Reactions
4 Replies
977 Views
wana jamvi , mimi mtwa mkulu wa dar nimekuwa jamvini kwa siku kadhaa. nimeona si busara niombe kukaribishwa. napenda sana kutoa na kuchangia hoja mbalimbali
0 Reactions
5 Replies
887 Views
I'm new
0 Reactions
14 Replies
1K Views
HI
nawasalimu ma seniors na ma juniors
0 Reactions
7 Replies
777 Views
habari zenu wana jf wote!.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu wana jf. ndo najitambulisha kwenu!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jukwaa la siasa ni sehemu ya maisha yangu kwa sasa..!
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana JF naomba nipokelewe kwa mikono miwili mimi ni mgeni kwenye Mtandao huu wa JF ni matarajio yangu kuwa nitapata ushirikiano wa kutosha hapa JF nawaombea wote wana JF Mungu atupe maisha marefu...
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Habari wana Jf.
0 Reactions
5 Replies
684 Views
Hello wana jamvi
0 Reactions
5 Replies
724 Views
Hello!
0 Reactions
6 Replies
796 Views
Jaman mwenzenu ndo kwanza mupya huku ndan nikarbishen ktk groups na disscusion zenu love u all!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
king of wise man is now in jf.hallow guys
0 Reactions
5 Replies
828 Views
Mm mgeni kabisa humu ila naomba kujiunga nanyi kujifunza mengi. Kutoka kwenu thnx much Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Hod hapa hata cjuw namna ya kupost vitu humuuu
0 Reactions
9 Replies
994 Views
Wana jamvi naomba kuungana nanyi katika kujadili mambo mtambuka yanayoihusu jamii ja Watanzania.Nilikuwa ughaibuni kwa muda mrefu na nimekuwa nasoma nyuzi zenu lakini sikuweza kuchangia kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom