Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
baada ya kufatilia kwa kina jukwaa hili na kuona faida zake ikiwa ni pamoja na kupata habari mbalimbali nimeona na mimi niwe mmoja wenu katika kutoa michango mbalimbali naomba mnikaribishe
0 Reactions
6 Replies
738 Views
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi mabest leo mimi ni mgeni humu, nimechokoa watu humu nanimepata mitusi yakutosha nimetulia tu hapa nashushia na grandmalta.. Tuko pamoja
0 Reactions
7 Replies
973 Views
nawapenda nyote mliopo humu ndani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Great thinkers
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Guten Tag members.......
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi humu ndani.Habari zenyu bana.
0 Reactions
5 Replies
897 Views
Hellow members
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Hodi hodi wana MMU,CC,JF DR,UJASILIMALI,nimemfuata mume wangu sababu kila siku anachelewa kulala,kisa JF,kuanzia leo namfuata nyuma nyuma *WasiWasi ndo Akili*
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nitashukuru km mtanipokea ili tushirikiane ktk ujenzi wa taifa
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nawapenda sana wana JF,Bonne nuit.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi!
niaje wadau wangu wa nguvu aiseeeee
1 Reactions
8 Replies
925 Views
wakuu naomba mnipokee mkimbiz toka FB
0 Reactions
5 Replies
804 Views
Hallaaaaaaaaaaaaaaaaa jamii forum members here is mr.somebody new by registered but am legend by following you in this forum...........................Appreciate u all /////SALUTE 4 giving the...
0 Reactions
5 Replies
845 Views
Naomba ushirikiano wenu. Wanajf pambili sanaaa....
0 Reactions
6 Replies
816 Views
ni mgeni humu ndani kama vip naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
865 Views
Nafurahi kupanda jukwaani, naamini tutakuwa pamoja ktk kutoa fikra yakinifu. Amani sana!
0 Reactions
6 Replies
728 Views
Nawasalim wana JF wote nimejiunga jf tegemeen vitu vingi kutoka kwa binam wetu
0 Reactions
4 Replies
911 Views
mambo vp wanajf
0 Reactions
8 Replies
984 Views
natumai wote ni wazima na napenda kutoa furaha yangu isiyo kifani kwa kuweza kujiunga na mtandao huu natumaini nitajifunza mengi kwa kujumuika katika kuchangia mawazo na kupata mawazo mapya na...
1 Reactions
4 Replies
749 Views
Back
Top Bottom