Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba?
Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini...
Nasikia kuna waraka mpya wa upandaji wa madaraja ya cheo na mshahara kuwa ni miaka minne badala ya miaka mitatu?. naombeni ufafanuzi wanajamii wenzangu?
Habari za jumamosi ya leo wanajamiiforum. Kama jina langu linavyo someka nimeamua kujiunga jf ili mimi na wenyeji wangu nyie tuonyeshe harakati zetu hasa ktk kuijenga Tanzania. nikaribisheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.