Great thinkers, karibu mkuuu utajifunza mengi sana humuNini Maana ya GT mkuu umeniacha hapo…
Aliyeanzisha uzi ndo anapewa hilo jinaDoooh! Code nyingine mzee nieleze hiki kidude mbele ya handle “op” ndo nini?
😊🙏Naombeni mnipokee ndugu yenu katika mijadala na hoja mbalimbali katika kulijenga Taifa hili. Asante!
OP- Original PosterDoooh! Code nyingine mzee nieleze hiki kidude mbele ya handle “op” ndo nini?
🤗Shukran lovely Lady
Nitakuwa hapa mdogo wangu,Shukrani Sista! Please stay tuned for my Next thread! Usisite kuKosoa ili nijifunze kilicho bora zaidi