Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Kwanza asanten kwa kunikaribisha katika jukwaa hili la vijana ambalo naliona ni bora kuliko hata facebook...kiukwel nimeipenda sana hasa kwa mada zilizomo humu ndani...nategemea kupata marafiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habar zenu wadau wakubwa kwawadogo,Mimi ni kijana wakiume naish Dodoma Naombeni msaada waharaka kwan nasumbuliwa na #tumbo #Maumivu nayopata yapo namna hii yalianza maumivu makali chini yakifua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habar zenu jaman..happy to be here..lov u all
1 Reactions
11 Replies
1K Views
We are Digital World Technologies......... DWTech Kampuni mpya inayojihusisha na "IT Services" na "website development" tunadesign website.. na blogs.. majarida.. vipeperushi.. mabango...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
habari wapendwa, hakika katika mambo mengi yanahitaji upendo, mbali na upendo kuna mahusiano ambayo hutuhusisha sisi wanaume na dada zetu. Mapenzi huleta furaha pale mnapokuwa na amani. Hakika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni mara ya kuanza kujiunga na jamii hii ya wenye mawazo tunduizi. Naomba ushirikiano wenu.. Wasalaam!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar ndugu zangu, mm ni mgeni huku hivyo nawaomba mnipokee
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hai?wadau wazm mjengn hum
0 Reactions
8 Replies
952 Views
Knock knock humu ndan
0 Reactions
7 Replies
829 Views
mgeni wenu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
napenda chukua fursa hii kujitambulisha ikiwa ni mwanachama mgeni,mungu awabariki sana!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani ndiyo nimeingia jamvini,naomba mnipokee.
0 Reactions
5 Replies
967 Views
mimi ni mgeni hapa jaman nimetoka hukooo analojia naomba mnipokee wenyeji wangu.
0 Reactions
8 Replies
963 Views
Habari zenu wadau Wa jf, nimepiga hodi humu ndani..tafadhali nikaribisheni.
0 Reactions
4 Replies
974 Views
introduce yourself na karibu katika majamvi yetu. (THE HOME OF GREAT THINKERS)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napiga hodi ndani ya JF kwa mara ya kwanza, nawasilimu na wapenda wote. Big up sana jamii nzima ya JF.
0 Reactions
9 Replies
947 Views
kwa kipnd kiref nlikuwa naptiaptia tu hp jamii.imefika wakat nmeona n bora kuwa mwana-family.ckuchelewa,jana nikafanya niwezalo n sasa nko humu rasmi nipokeen plz,maana waswahili husema"ugeni utoto"
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nimeangaika sana kujiunga Jf hatimae leo nimefanikiwa, habari zenu wapendwa natumai mu wazima wa afya mimi ni mwenzenu naomba mnipokee.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nlipokuwa chuo kuanzia 2010 rafiki yangu mwanyeji wa Dar alipenda sana kutumia JF wakati huo mimi nikitumia sana Mjengwa. Basi bwana tukaambukizana mi pia nikaapenda Jf na kwa mjengwa. Baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom