Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
*Nafurahi sana kuwa nanyi wapendwa, naomba ushirikiano wenu nyote ili kufurahia jamii pamoja nanyi. Asante!.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mimi mwenzenu ni new member...nategeme kujifunza mengi toka kwenu...ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mie mgeni naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani mambo.
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Hbr zenu wadau naomba ushirikiano wenu Mi ni mgeni wenu Asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mi ni muumini mkubwa wa imani hii ya kirastafarie na nimekuja kwenu ila naomba mnipokee. ONE LOVE IN JAH PEACE
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamii wenzangu mimi ni member niliyekuwa nasusua,sasa naingia mazima..nimegundua jamii forum ni kisima cha elimu...Mungu ibariki Jamii Forum
0 Reactions
6 Replies
950 Views
Mi Ni mgeni humu wenyeji mpo??
0 Reactions
6 Replies
871 Views
Nikiwa mgeni kwenye jf naomba mnipokee tupate kubadilishana mawazo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau.Kwa kifupi mm ni kijana mpenda maendeleo na mabadiliko katika fikra na matendo.Nmekuwa nikifatilia jamii forum kwa miaka3 salsa. Nimeona jinsi vijana wenzangu mnavyofanya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
shikamoo wakubwa,naomba mnipokee huku ndo nimeingia rasmi ushirikiano wenu muhimu. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
936 Views
Hi?
Habari zenyu humu!
0 Reactions
6 Replies
847 Views
Mmmh kimya!!! Hodi huku ndan.. Jaman kwanza samahann nliingia kwa kuibia nmeona nirudi ili nifuate utaratibu
0 Reactions
4 Replies
665 Views
Hodiii hapa
0 Reactions
6 Replies
688 Views
helow<<,,, peoples naomba niingie
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Mimi ni mpya hapa naomba mnipokee tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
830 Views
Habari zenu humu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ngo Ngo Ngooo....!!!!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu. jamani leo nipo hapa maalum nna hamu ya kupoke wageniiii.. so wageni wote piteni mlango huu
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom