Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Kutoka kusoma habari bila kuchangia na wakati mwingine kucheka mpaka, kujoin jamii forums as a SHADOWANGEL... Mi ni he
0 Reactions
6 Replies
1K Views
leo ni birthday yangu natimiza miaka kazaaa:hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail:
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Wanajamvi najitambulisha mjengoni mi mgeni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mko poa wa jf?
0 Reactions
4 Replies
946 Views
habari ndugu wapenda amani,maendeleo n.k naomba lidhaa yenu tuwe pamoja katika hoja na vihonja.najua kunabaathi tutatofautiana kwa ajili ya Chama,dini,michezo na n.k. naomba sana haya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hodi. mimi ni msichana moja nchi ya uchina, ninajifunza kiswahili.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana jamvi natumaini mu wazima wa afya naomba mnikarbishe na mnionyeshe njia za humu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani hodi humu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari zenu wanaJF. mm ni mgen humu nna kama sku kadhaa na nnaomba samahan kwan sikujua kama kuna jitambulisha. kwa kwel nmefuraiya sana jnsi elmu ya kmaisha inavyo tolewa hum, hakka kwa hz sku...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
naomba mnipokee
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Haya ndo hivyo tena
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi najitambulisha kama mgeni jamiiforum naomba mnipokee na kunielekeza ili angalao nifanane nanyi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni katika jf,naomba tafadhali kwa wenyeji mnijuze juu ya neno ni PM, nini hasa mtu ana maanisha maana matangazo mengi mtu anadai utani PM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu ndugu zangu wa humu ndani nina ndugu yangu almaliza form6 miaka ya nyuma kwa bahati mbaya alipata principle pass moja akukata tamaa aka apply diploma chuo kimoja kamaliza mwaka huu ila...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda huu wapendwa, naombeni mnikaribishe.
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Hali zenu waungwana.. Mim ni mgeni humu mjengoni naomba munikaribishe
0 Reactions
7 Replies
970 Views
Naomba kukaribishwa wanajf,.....
0 Reactions
4 Replies
957 Views
Baada ya akaunt ya kwanza kupata mushikel nimerudi kivingine hivyo naomben tuendeleze gambe kama kawaida #one_love_kwenu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habari za asubuhi wapendwa .mimi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom