Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Huku ninyi mnapokeaje wageni mbona kama sielewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Mimi jina langu, ni San na ni mgeni wa hapa JF. Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimependa kujitambulisha kwenu wadau wa jamii forum mm ni mgen nimejiunga nanyi humu ili tuweze kujadiriana,kujifunza,kuhabalishana habari mm naitwa minji
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari, mimi ni mgeni humu, naombeni ushiriKiano wenu.
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni humu, naombeni mnikaribishe, naitwa Hafiz. Napenda kuchati na mademu wazuri, kama wapo njooni hapa tuchati na tubadilishane mawazo.
1 Reactions
9 Replies
877 Views
habari yenu ndugu zangu WASIFU A Man, miaka 27, im an occupational Therapist by professional pia ni mwanafunzi kwa sasa.Arsenal “the gunners fan”..ATHEIST kwa itikadi..STOIC kwa falsafa. HUMANITY...
6 Reactions
13 Replies
986 Views
Nimgen naomben mnipokee
2 Reactions
8 Replies
837 Views
U hali gani msomaji? Pole na majukumu ya hapa na pale ya shughuli zote za ujenzi wa taifa E Motherland ni ID mpya inayomilikiwa na mimi mwandishi (Jina kapuni) ikiwa chini ya uangalizi mzima wa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Hi guys . I'm a new member here. Naomba mnipokee
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Hello JF, naitwa Hillary Ni mgeni humu kwa heshima na taadhima naomba mnipokee.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Naombeni mnikaribishe
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeingia JF rasmi...tuwe pamoja wakuu.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni mgeni katika kufungua account lakini ni mwenyeji wa kusoma makala na uzi pasipo ku komenti, nipokeeni hivi leo.
3 Reactions
7 Replies
819 Views
nawasilimu nyote. Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu. Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa. Maana kwa muda mrefu nimekua...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwanza nmekuwa nikiona na kuskia mengi mazuri ya humu ndani JF kupitia rafiki yangu nikashawishika, naombeni MNIPOKEE tushirikiane kwenye ushauri, fursa, urafiki, story za hapa na pale n.k
2 Reactions
5 Replies
602 Views
Jaman natak kusoma story inaitwa Lisa imeandikwa na official dully sielew ss nifanyaje
1 Reactions
5 Replies
575 Views
Ngoja nigeuze maana sijajibiwa na kupga hodi mwisho mara tatu....[emoji23][emoji23]
1 Reactions
6 Replies
926 Views
Hodi humu ndani. Mimi ni mkongwe wa Jf ila nimekuja kutambulisha ID yangu mpya naombeni ushirikiano wenu. Loading failed Error has occured due to insuficient balance.
1 Reactions
5 Replies
599 Views
Mgeni kutokea +254, love you all jamii members
2 Reactions
8 Replies
681 Views
Nawapenda sana wana JF[emoji1696]
1 Reactions
4 Replies
823 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…