Nimerudi Tena Jamvini Ndugu Zangu Baada Ya Kusota Rumande Takribani Miezi Sita Kwa Kosa La Kusingiziwa Namshukuru Mungu Nimerudi Tena Uraiani
#2gether_2nawakilisha
Wakuu,
Poleni na majukumu na ongereni pia. Ndo kwanza nimepata taarifa ya uwepo wa jukwaa hili. Nipo masomoni nchini Gambia. Mimi ni mtanzania typical nimezaliwa mkoani Tanga!
Sasa wadau naona...