Habari za wakati huu wadau,
Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi.
Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata...
Nikiwa siku kadhaa sijaonekana kwenye huu mtandao wangu pendwa wa jamii forum kutokana na majukumu yangu magumu ya kitaifa na kimataifa,Sasa nimerejea tena hapa jamii forum Kwa energy yangu kubwa...
Habarini jamii forums nipende kujiunga nanyi katika jukwaa hili adhimu kushiriki na kuleta mijadala yenye tija Kwa taifa na jamii Kwa ujumla
Ikiwa na lengo la Kulinda Amani mshikamano na umoja...
Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja.
Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee.
Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla...