Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wanangu fugeni Ndevu. Utafiti umeonesha Wanawake wanawapenda Wanaume wenye Ndevu kuliko wasio na Ndevu. Asilimia 70% ni kubwa so no way out Wanangu tufuge Ndevu. ======= Kumekuwa na mijadala...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Kama kawaida leo weekend tunafanyaga appointment na watu kwaajili ya special occasion hivo ni muhimu kuzingatia usafi wa kinywa Tunapiga mswaki ili kuweka kinywa katika hali ya usafi ni sawa lkn...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello dears! Nmepata msaidizi wa nyumbani, kiukweli nampenda na anajitahidi na kazi zake sifikirii kumuondoa kwani pia huwa napata wadada wazuri tunaishi mda mrefu. Huyu anashida ya harufu ya...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke...
15 Reactions
63 Replies
3K Views
Ugunduzi huu utaondoa yale masimango tunayoyapata wanawake pale tunaosuka rasta (Hair Extention) au kuweka weave. Ni kwamba hivi karibuni watafiti katika mji mpya unaojengwa huko nchini Misri wa...
2 Reactions
63 Replies
30K Views
Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake – Mtazamo wa Jamii Yetu Wakuu, natumai wote mpo salama. Leo naomba tujadili jambo ambalo linaonekana dogo lakini linagusa maadili, utamaduni na mitazamo ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa Dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakati nikiwa mdogo wazazi wangu walinitoboa kla sikio kishimo kimoja. Mimi nimependa kuongeza, nimeenda kuongeza kla sikio vishimo viwili jumla vimekuwa vitatu kla sikio. Sasa leo mama ameniona...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Habarini wanamitindo wenzangu,mimi.kijana wa makamo tu,nmefuga nywele ndefu nmepunguza pemben level flani.hivi, lakini kuna watu wanasema kuna kunyoa hivo unavhukuliwa.kma.ni uhuni,je nifanyaje?
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu, Kwa wale wanaosumbuliwa na uso wa mafuta hasa ule ambo ni rahisi kupata chunusu (acne prone skin), tumia mafuta ya ubuyu bila kuchanganya na chochote utakuwa umemalizana na tatizo lako na...
7 Reactions
42 Replies
12K Views
Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio...
19 Reactions
136 Replies
14K Views
Watu wengi hupenda sana nywele zao ziwe katika muonekano mzuri na zenye afya tele,katika hali ya kutafuta mafuta ya kuweza kuziboresha zaidi watu wengi hujikuta wakitumia gharama nyingi katika...
5 Reactions
16 Replies
63K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada, Kwa wale wajuzi na wazoefu wa masuala ya mavazi. Nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? Kwa mfano shati jekundu lina match na suruali gani? Mwenye...
2 Reactions
275 Replies
113K Views
Kizazi Cha Sasa sio wanawake Wala wanaume tuko obsessed na kuwa weupe,wengine tunajidanganya Kwa jina la kuglow. Kuglow uglow na rangi yako halisia huku unawaka na kumeremeta,rangi yako...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
Wanasema "ukitaka kupima ustaarabu wa mtu au watu angalia namna wanavyokitumia choo na hali ya mazingira ya chooni pale wanapokiacha baada ya matumizi yake" Naanza na mimi. Choo ninachokitumia ni...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
41 Reactions
155 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa. Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown. Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu...
1 Reactions
66 Replies
59K Views
Mwanamke unakuwaje na kiharufu Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru...
56 Reactions
576 Replies
15K Views
Wadau Habari zenu, Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Siku hizi imekuwa desturi kwa baadhi ya wanaume kuvamia fasheni na tabia za kike hadi inaleta wasiwasi. Unamkuta mwanaume kipande cha baba amevaa kipochi cha kike anazurura nacho mtaani hadi...
36 Reactions
160 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…