Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Dunia imeenda kasi sana yaani viskirt tight leo hii imekuwa Ni fashion?si nguo za ndani hizi mnavaa mpaka mjini barabarani hamna aibu msichokijua Ni kuwa wanaume tunapenda wanawake wanaojisitiri...
13 Reactions
93 Replies
13K Views
Habari za majukumu wana jf, Leo Alfajiri, muda wa saa 11 hivi nikiwa ndani ya Hiece nikiwahi majukumu ya kuifukuza shilingi. Kuna kituo kimoja alipanda dada mmoja, alikuwa mrembo si haba...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kumekuwa na fashoni ya kunyoa nywele kwa wanawake na wadada. Yaani wananyoa halafu wanapaka na bleach kwenye nywele. Wanaopendeza sana...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
Uongo mwingine si uongo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie. Nini maoni yako
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Jamani baadhi ya wanawake tena sio baadhi asilimia kubwa muoshe, mfue au muwe mnaanika mawigi yenu. Kuna dada mbele yangu hpa ATM foleni wigi lake linatema balaa! Yaani nahisi halijafuliwa mwezi...
13 Reactions
105 Replies
4K Views
Aisee Jana nimetoka safarini from Dar to Arusha kuja kusherekea kristmasi nilipanda marangu coach alfajiri saa 11:45 safari ikaanza mwanzo ulikuwa hauna shida tulisafiri mpaka saa 7 tukaenda...
19 Reactions
53 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu wana JF, Hakika naandika hili jambo nikiwa nimekwazika sana, hivi inakuaje mwanamke wa ki analog unakuwa mchafu sehemu ya papuchi, dah maana kwa nilichokutana nacho leo sina...
3 Reactions
65 Replies
9K Views
Simaanisha usafi wa nguo, hapana! Huko chiniii. Jana jumapili nilienda lodge na dada mmoja hivi ukimuona kwa mavazi ni msafi sana, lakin huwezi amin baada ya kupiga round mbili sikua na ham tena...
19 Reactions
230 Replies
16K Views
Nilitaka kufaham wanawakee nyie mnajiita waremboo mnakwamaa wapi mwanamkee unakuwa na mikuchaa kama shetani unafugaa kuchaa mpaka kula inakuw taabu kwenu urembo gani wa hivyo
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanawake huvutiwa na wanaume waliovaa nguo za bluu na wanaume huvutiwa na wanawake waliovaa nguo nyekundu
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nahitaji kujua wanawake wanavutiwa na rangi gani
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali. Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine...
14 Reactions
151 Replies
13K Views
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia. Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na...
11 Reactions
37 Replies
5K Views
Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za mchana wanajamvi Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni 1.Wanawake wengi wanapenda...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
  • Redirect
Habari za mchana wanajamvi Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni 1.Wanawake wengi...
0 Reactions
Replies
Views
Makalio yanakua na shape mbaya na yanakosa ushirikiano... Binti wa miaka 24 makalio linakuwa kama la mbibi wa miaka 75. Acheni ujinga huu haraka.
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa gagulo ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa. Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa gagulo kama...
2 Reactions
72 Replies
22K Views
Back
Top Bottom