Ndugu watanashati habari,
Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?
Inawezekana umeolewa halafu bwana anataka kwenda kazini unatakiwa umuandalie mavazi lakini vyote unaweza ila kwenye kufunga tai unaumbuka, unaonekana mshamba pengine kukaripiwa na kuharibiwa siku...
Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia.
Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana...
Kwa wale kina Dada wanaopenda kubandika kucha mnatunzaje kucha zenu ili zisibanduke, maana kwa upande wangu napenda kubandika kucha, lakini napata changamoto katika kufua, kusugua sufuria etc au...
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza, mama kijacho wangu ameanza kupata shida ya michirizi kiunoni na tumboni hivi karibuni.
Kwa mjuzi wa dawa tusaidiane katika hili tafadhali. Kabla sijafanya...
Mmeamkaje wana jukwaa?
Moja kwa moja kwenye mjadala wetu hapo.
Nataka mnunulia baby mama mafuta mazuri sambamba na unyunyu kama zawadi. Naombeni ushauri wa aina nzuri ya package upande huo...
Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada.
Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua...
Habari zenu wapendwa?
Naomba mrejesho kwa mtu aliyewahi kutumia Goldie face cream, maana Mimi nina chunusi sasa nimeenda cosmetic wamenishauri nitumie hii face cream.
Yaani hata uoge vipi ka harufu kako katakuwepo tu, wewe huto kasikia, watakasikia watu wa pembeni yako.
Hata ujisugue mwili mzima na limao katakuwepo tu. Ukido, kanahamia na kwa mwenzako...
Imekua ni utamaduni kwa wanawake kunyoa sehemu za siri na kubakiza upara kabisa, hii inaweza kusababisha kushambuliwa kwa urahisi na bakteria.
''Unavyonyoa sehemu za siri, unasababisha usumbufu...
Wakuu salama hapa
Mi kijana wa miaka 34 January 2023 natimiza 35
Nimetokewa na mvi kwenye ndevu ghafla nimeipenda hii hali nahitaji kabisa hizi ndevu zote ziwe nyeupe kabisa na huku kichwani...
Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma!
Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?