Umuhimu wa kuvaa mlegezo

jangala

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,583
2,362
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa kwanini vijana wengi huvaa mlegezo? Tatizo ni kuwa suruali inakuwa fupi au ni chupi mpya anataka tuione?

BS1VZrZIIAA6Tj_.jpg
gezooo.jpg
 
Kwa hili wimbi la 'ushoga' nashawishika kusema uvaaji wa namna hii inaweza kuwa tangazo la biashara.

Keyword: *inaweza
Huwa najiuliza hawa watu hutokea jamii au familia za namna gani aisee...hakunaga bakora kwao?
 
Mtaani kwetu kuna kampeni inaitwa 'pandesha suruali juu' hajalishi ni mpita njia wala nini utakula bakora ukileta ujuaji.
 
Halafu unakuta kavaa mlegezo sasa na hiyo boxer huko ndani ilishabadilika rangi imekuwa kama rainbow haieleweki kama ni nyeupe,nyeusi yani shida tupu
Unakuta sista duu yuko benet na kajamaa kamevaa mlegezo wala haoni tabu...
 
Back
Top Bottom